Jeremiah John Pombe apasua Darasa la Saba

Jeremiah John Pombe apasua Darasa la Saba

Haya ni mawazo ya kimasikini hivi nikiwa natetea wanyonge na mimi natakiwa kuishi kinyonge?Watz watu wa ajabu sana yaani unataka kuniambia niwapeleke watoto wangu shule za kayumba eti kisa natetea wanyonge?hiyo haipo kabisa hizo ni fikra finyu
Pole
 
Sasa jamani mlitegemea Rais amsomeshe mwanae Kayumba ? Tena mimi naona Feza ni ya kawaida sana. Je angempeleka HOPAC,École Française au Tanganyika international school?Huko Feza hadi walimu wa primary school wanasomesha watoto wao hapo.
 
Hata ungekuwa wewe ndo rais ungempeleka wapi mtoto wako? TUACHE UNAFIKI
Tena tu wanafiki sana, yuke mtoto alieferi alitangazwa mpaka Dunia ikajua, Wala hawakuona amefiri kama alivyoferi mtoto wa mwingene tu. Leo huyu amefaulu tunalalamika, Katika maisha utofauti haukwepeki.
 
Kwa hili mmechemsha aisee

Hata mimi siwezi somesha mwanangu shule zisizoeleweka hata kama nawatetea hao wasioeleweka
Hapa inaonesha dhahiri kwamba shule za serikali hazitoi elimu bora ,na serikali haiwezi kujali kwa sababu hawawapeleki kusoma watoto wao kwenye shule hizo.

Ila kiujumla ni aibu sana.
 
Angesoma shule hizi za kawaida bado mngesema rais anashindwa kupeleka watoto wake shule za maana. Yaani kama mtaingiza siasa hata kwenye maisha binafsi ya familia ya rais siyo fair kabisa. Huu wivu wa kike hauwezi kukuondoleeni shida, kama wewe unashindwa kupeleka wanao huko, let those who afford send their kids. Hata vidole havilingani
Tumia akili wewe.

Wanashindwa kuboresha mazingira ya shule za uma kwa sababu watoto wao hawasomi hapo ,ingekuwa kuna sheria inayowafanya watoto wa viongozi wasome shule za uma hizi shule zingekuwa bora sana kuliko hata za private.
 
Anadai na kusisitiza analipwa million 9!...ni kweli lakin tunajua watu wa Ikulu marupu rupu na posho na ile ingine haipitii kwenye payroll ileee...
Hiyo 9Million ni changa la macho.

Si alisema ataonesha slip za mshahara wake mbona kanyuti mpaka leo?
 
Watanzania kwa unafiki kiboko mtuambie nan ambae angekuwa kwenye position ya baba yake asingemsomesha hapo tunajifanya watakatifu sana watanzania
 
Shida sio unafiki bora angeboresha hizi shule atleast ziwe middle class. Lakini watoto vumbi, walimu haukuna kama wapo hata kama wapo wanafundishia mazingira magum bila remuneration zozote. Mi mwenyewe siwezi mpeleka kwasababu ya mazingira ya huko
Na hiki ndicho kinachowafanya wasiboreshe shule zao kwa kuwa watoto wao hawasomi hapo.
 
Heeee Mtoto wa Sundi Malomo jirani yangu kabisa? Vp na mtoto wa mme wake anayeishi naye sasa David Maji...e naye amemaliza
Yule wa mmewe bado mdogo bwana, kwanza Jeremiah anaishi kwa baba yake. Na Janeth anamtunza vizuri kama mwanae tu.
 
Back
Top Bottom