Jeremiah John Pombe apasua Darasa la Saba

Jeremiah John Pombe apasua Darasa la Saba

Ni story kwa sababu babake ni mzalendo namba moja Tz..na lengo la mzalendo ni kuwa karibu kimatendo na wananchi wanyonge..Tulitegemea huyo mtt angesoma shule ya msingi Chato..ili tuuone umahiri wake..sasa huko Feza kwa waturuki wanyonge uwezo tunao?Afrika hakuna rais wa kuwapeleka watoto wake st kayumba..hao ni wafalme..ni chungu but ni lazima tumeze
Niache nikae kimya mkuu., naweza andika sentensi moja tuu nikaenda kupimwa mkojo
 
Miaka ya 80-90+ watoto wa vigogo walisoma hizo shule Za walala hoi, ila sasa wana tuzuga wakati watoto wao wapo shule za gharama. Inawezekana mtoto wapo Jaffo asome chanzige primary wakati zipo ambazo watoto wana cheza na computer na muda wa break analala special room na usafiri wa kumwaga?
Baada ya Azimio la Arusha shule zote zilitaifishwa, watoto wa mawaziri tuliyonayo nao katika shule za kata. Kwa Dar wazazi walipigania shule za Muhimbili, Upanga, Bunge na Oyster Bay ndiyo kidogo zilikuwa na utofauti
 
Shule ya wanyonge?minilijua watoto wa mpenda haki wapo kayumba!!!
Jamani nyie chadema acheni uchochezi mbona feza gharama zake za kawaida hadi maskini anamudu tuu!!,mil.8 unashindwa kweli??!
 
hapo juu hiyo picha ni feza international...... sio feza primary yenye kutumia mtaala wa necta
 
Kwa hili mmechemsha aisee

Hata mimi siwezi somesha mwanangu shule zisizoeleweka hata kama nawatetea hao wasioeleweka
Nimeshawahi kumskia rahis wa TLS kwenye interview moja hiv Mkasi. Anasema hata kama hawezi kumpeleka mtoto wake akasome serikalini mazingira siyo rafiki kabisa kwa wanafunzi.
 
Safi,Haya tunaomba tuwekewe bei ya ada ya hiyo shule ya wanyonge ili sisi wanyonge tukasomeshe huko watoto wetu!!!

Hivi kuna mnyonge anaemudu ada ya shule ya msingi shs 4mln?!! Ada hii ni ghali kuliko ada ya chuo cha elimu ya juu Tanzania.

.........Shule za Feza International za chekechea, msingi na sekondari zilizoko Kawe, Mikocheni, na Tegeta kwa wasichana na wavulana hutegemea ngazi ya elimu.

“Mtoto wa shule ya msingi analipiwa Sh4 milioni kwa mwaka na yule anayeanza sekondari analipia zaidi ya Sh7 milioni. Kwa shule ya msingi ada pekee ni Sh2.9 milioni bila kuhusisha gharama nyingine kama chakula, malazi, vifaa na usajili,” alieleza mmoja wa wazazi ambaye ana mtoto wake anasoma moja ya shule hizo.

Source. Shule Dar yatoza Sh60 milioni
Mlizoea ufisadi mbona mnalalamika sana?!
 
View attachment 613551
View attachment 613552
Mtoto Jeremiah John Pombe anayesoma shule ya Watanzania Maskini wanyonge Feza Primary School amepasua katika mitihani yake ya darasa la saba baada ya kupata A zote katika mitihani hiyo

Hongera mtoto wa familia ya JPM

View attachment 613554 Watoto wa Feza wakisoma katika mazingira magumu

View attachment 613555
Watoto wa Nanjilinji wakisoma katika mazingira rafiki
Tunaomba na matokeo ya Nalinjilinji nimuangalie mwanangu
 
Back
Top Bottom