Jerry muroMajina yao yote lazims yaanze na J
John
Janeth
Jesca
Jeremiah
nk
Anadai na kusisitiza analipwa million 9!...ni kweli lakin tunajua watu wa Ikulu marupu rupu na posho na ile ingine haipitii kwenye payroll ileee...
Kumbuka na asili yao. Kule Magharibi ndio wanapenda kuitana hivyo.Majina yao yote lazims yaanze na J
John
Janeth
Jesca
Jeremiah
nk
Shida sio unafiki bora angeboresha hizi shule atleast ziwe middle class. Lakini watoto vumbi, walimu haukuna kama wapo hata kama wapo wanafundishia mazingira magum bila remuneration zozote. Mi mwenyewe siwezi mpeleka kwasababu ya mazingira ya hukoHata ungekuwa wewe ndo rais ungempeleka wapi mtoto wako? TUACHE UNAFIKI
Nakuunga mkono mkuu,hawa jamaa hawana hoja. Kazi yao kupinga tu.Huku ni kukosa hoja nazani mada kama hizi hazina mashiko na wew pambana na maisha mtto wako uumsomeshe shule unayotaka,,,yani nyie nyumbu mnsumbua kweli kwa akili hizi alafu tuwape inchii?
Mkuu wameanza kwenye siasa wameshindwa sasa mtu anaanza kwenye familia ndio maana bongo watu wengi tunakua masikini kwaaji ya kutanguliza mdomo kwa mambo ya watu huku ya kwetu hatupambani nayoNakuunga mkono mkuu,hawa jamaa hawana hoja. Kazi yao kupinga tu.
Ni story kwa sababu babake ni mzalendo namba moja Tz..na lengo la mzalendo ni kuwa karibu kimatendo na wananchi wanyonge..Tulitegemea huyo mtt angesoma shule ya msingi Chato..ili tuuone umahiri wake..sasa huko Feza kwa waturuki wanyonge uwezo tunao?Afrika hakuna rais wa kuwapeleka watoto wake st kayumba..hao ni wafalme..ni chungu but ni lazima tumezeSasa kama kasoma feza ulitaka apate marks gani? Angekuwa amesoma shule yenye jina la kijiji kweli ukipata A zote hapo ndo ingekuwa story
You are such a SOLID imbecile!!View attachment 613551
View attachment 613552
Mtoto Jeremiah John Pombe anayesoma shule ya Watanzania Maskini wanyonge Feza Primary School amepasua katika mitihani yake ya darasa la saba baada ya kupata A zote katika mitihani hiyo
Hongera mtoto wa familia ya JPM
Mods sijakosea jukwaa
View attachment 613554 Watoto wa Feza wakisoma katika mazingira magumu
View attachment 613555
Watoto wa Nanjilinji wakisoma katika mazingira rafiki
Rais kupeleka watoto Feza hakumuondolei uzalendo. Kazaliwa mzalendo tu,hata wafanyeje hawa Chadema!Mkuu wameanza kwenye siasa wameshindwa sasa mtu anaanza kwenye familia ndio maana bongo watu wengi tunakua masikini kwaaji ya kutanguliza mdomo kwa mambo ya watu huku ya kwetu hatupambani nayo
Majina yao yote lazims yaanze na J
John
Janeth
Jesca
Jeremiah
nk