ngopyolo
JF-Expert Member
- Oct 20, 2013
- 1,940
- 1,521
Anzisha thread yako!ningependa kujua aina ya shule wanazosoma watoto wa wanasiasa wa vyama vya upinzani
Anzisha thread yako!ningependa kujua aina ya shule wanazosoma watoto wa wanasiasa wa vyama vya upinzani
Rais wa nchi hawezi kuwa na maisha ya private. Ni kioo!fuatilia hakuna kiongozi mkubwa akawa na kitu cha binafsi. Unapochagua kuwa kiongozi umechagua kuwa mali ya umma.Yaani baadhi ya watu kwa kulalamika tu hawajambo. Mnastahili pongezi. Kwa kweli, ni. Ujinga mnoo kuingilia maisha binafsi ya mtu. Chuki za kijinga, you name it..
Mkuu wameanza kwenye siasa wameshindwa sasa mtu anaanza kwenye familia ndio maana bongo watu wengi tunakua masikini kwaaji ya kutanguliza mdomo kwa mambo ya watu huku ya kwetu hatupambani nayo
Nyerere alienda hadi nje kusomaShida yetu msimshe na Nyerere yaani hamfikii yule baba hata kwa asilimia 2 /100 ya uzalendo ,ye achape kazi tu asijiite mzalendo na rafiki wa wanyonge wakati yeye anaishi ki malaika ila anataka wenzie ndo waishi kishetani na kusomesha watoto wao shule za vumbi.
Unafki mtupu mxiuwww
Hata Majaliwa Kassim Majaliwa kapasua A zote pale Martin Luther King Dodoma. Elimu bure imeongeza ufaulu.View attachment 613551
View attachment 613552
Mtoto Jeremiah John Pombe anayesoma shule ya Watanzania Maskini wanyonge Feza Primary School amepasua katika mitihani yake ya darasa la saba baada ya kupata A zote katika mitihani hiyo
Hongera mtoto wa familia ya JPM
View attachment 613554 Watoto wa Feza wakisoma katika mazingira magumu
View attachment 613555
Watoto wa Nanjilinji wakisoma katika mazingira rafiki
We lia lia tuUkizingatia mwenyewe mkulu anatuaminisha ya kuwa elimu ya serikali yake anataka kuiboresha kwa kuifanya iwe nzuri na ya kisasa,sasa kama kweli anania yakweli ya kuzifanya shule za serikali ziwe nzuri na bora basi anatakiwa aanze yeye kutuaminisha angalau mmoja wa wanafamilia yake asome katika mojawapo ya shuri za serikali
Mbowe na Lissu ni capitalist,JPM ni socialist and communistIla kwanini watu hamkosi kadogo
Ni mtoto yupi wa Mbowe anasomea shule yenye jina la Kijiji
au Su,Lissu,Lema?
Chuki mbaya sana
mie natoa pongezi kwa mtoto huyo
I can read your thinking and minds from what you write. So simpleUpo kwenye akili zetu!?
hapo hakuna hoja,sana sana unaitangaza shule ya fezaWatoto wa Nanjilinji wakisoma katika mazingira rafiki