Jeremiah John Pombe apasua Darasa la Saba

Yuko kwa ajili ya wanyonge...
Ukwel ni kwamba HAKUNA NWANASIASA HASWA WALIOKO.MADARAKANI WATAKUSAIDIA KWA LOLOTE..MNAFIKIRI ANGEMPELEKA WAPI ZAID YA SHULE BORA ..SABABU PESA IPO
 
Ukizingatia mwenyewe mkulu anatuaminisha ya kuwa elimu ya serikali yake anataka kuiboresha kwa kuifanya iwe nzuri na ya kisasa,sasa kama kweli anania yakweli ya kuzifanya shule za serikali ziwe nzuri na bora basi anatakiwa aanze yeye kutuaminisha angalau mmoja wa wanafamilia yake asome katika mojawapo ya shuri za serikali
Mbona wanaye karibia wote ukimtoa huyu wamesoma public
 
Fedha alafu unasema ww ni mzalendo, mpeleke ya kata kwan wanaosoma izo ci watanzania km yy
 
Wakuu.
Kila kitu kidogo Tunasema sasa tunavuka mipaka ,wewe ndio ungekua Baba J unadhani ungejisikiaje? Sio vizuri na sio maadili Baba J nae ni binadam tumpe moyo sio kumnanga kila saa sio vizuri hata kidogo.
 
Tangu 1989 mtu anakutana na fedha mpaka Leo Ana ongoza watu kisha ashindwe kumsomesha mwana shule hizo? Mimi Nina Lima vitunguu na tikiti na mtoto wangu anasoma shule hizo.....USAWA HAUPO TUPAMBANE ANGALAU TUPUNGUZE GAP
 
Back
Top Bottom