Jeremiah John Pombe apasua Darasa la Saba

Haya ni mawazo ya kimasikini hivi nikiwa natetea wanyonge na mimi natakiwa kuishi kinyonge?Watz watu wa ajabu sana yaani unataka kuniambia niwapeleke watoto wangu shule za kayumba eti kisa natetea wanyonge?hiyo haipo kabisa hizo ni fikra finyu
Hujaambiwa uwapeleke wanao shule za kayumba. Ila boresha basi izo shule za kayumba angalau wajenge madarasa ya tofali uezeke,maslahi ya walimu. Kwanza necta wanakosea kusema eti shule binafsi zimeongoza. Kwa uelewa wa kawaida huwezi weka kundi moja wanafunzi wa Feza na hao wanaosoma chini ya mwembe. Wawe na makundi mawili wakati wa matokeo yaani kundi la shule binafsi na lingine shule za kayumba.
 
View attachment 613551
View attachment 613552
Mtoto Jeremiah John Pombe anayesoma shule ya Watanzania Maskini wanyonge Feza Primary School amepasua katika mitihani yake ya darasa la saba baada ya kupata A zote katika mitihani hiyo

Hongera mtoto wa familia ya JPM

View attachment 613554 Watoto wa Feza wakisoma katika mazingira magumu

View attachment 613555
Watoto wa Nanjilinji wakisoma katika mazingira rafiki
Hongera dr john pombe, matokeo chanya ya kusomesha watoto bure tumeyaona. CCM oyeeeee!
 
View attachment 613551
View attachment 613552
Mtoto Jeremiah John Pombe anayesoma shule ya Watanzania Maskini wanyonge Feza Primary School amepasua katika mitihani yake ya darasa la saba baada ya kupata A zote katika mitihani hiyo

Hongera mtoto wa familia ya JPM

View attachment 613554 Watoto wa Feza wakisoma katika mazingira magumu

View attachment 613555
Watoto wa Nanjilinji wakisoma katika mazingira rafiki
Lissu, Mungu akuponye , uje uwatumikie watanzania kiukweli ukweli...
 
Haya ni mawazo ya kimasikini hivi nikiwa natetea wanyonge na mimi natakiwa kuishi kinyonge?Watz watu wa ajabu sana yaani unataka kuniambia niwapeleke watoto wangu shule za kayumba eti kisa natetea wanyonge?hiyo haipo kabisa hizo ni fikra finyu
Hujielewi wewe
 
Sasa kama kasoma feza ulitaka apate marks gani? Angekuwa amesoma shule yenye jina la kijiji kweli ukipata A zote hapo ndo ingekuwa story
Sasa kama yeye anahamasisha wenzake wasomeshe watoto wao kwenye shule za BURE mbona yeye anapeleka wa kwake kwenye shule za kata?
 
Sasa jamani mlitegemea Rais amsomeshe mwanae Kayumba ? Tena mimi naona Feza ni ya kawaida sana. Je angempeleka HOPAC,École Française au Tanganyika international school?Huko Feza hadi walimu wa primary school wanasomesha watoto wao hapo.
Lakini yeye ni kioo

Inabidi awe mfano
 
View attachment 613551
View attachment 613552
Mtoto Jeremiah John Pombe anayesoma shule ya Watanzania Maskini wanyonge Feza Primary School amepasua katika mitihani yake ya darasa la saba baada ya kupata A zote katika mitihani hiyo

Hongera mtoto wa familia ya JPM

View attachment 613554 Watoto wa Feza wakisoma katika mazingira magumu

View attachment 613555
Watoto wa Nanjilinji wakisoma katika mazingira rafiki
Kwani ulitaka akasome wapi wakati kipato cha Rais ni 9m. Mimi mwenyewe mtoto wangu anasoma shule za kulipia wakati mshahara wangu ni 1m kupanga ni kuchagua kijana!! Wewe si ulituambia pesa yako ni za kuonga wanawake kama ulivyokamatwa na malaya huko Shinyanga!!??
 
Back
Top Bottom