Finally, mtu yoyote anayeshangaa hawa kuachana anahitaji maombi.... JLO kiboko 3rd divorce in what 15 years and she is only 41?
Kuna watu inabidi waelewe kuwa ndoa sio ya kila mtu.
Finally, mtu yoyote anayeshangaa hawa kuachana anahitaji maombi.... JLO kiboko 3rd divorce in what 15 years and she is only 41?
Kuna watu inabidi waelewe kuwa ndoa sio ya kila mtu.
Mazee, JLo ni kama dege la jeshi.... hata kama unaambiwa halina mafuta, mjomba bado unatamani kulipanda tu!!! Ukiambiwa limeshapitiliza airmaili na halifai tena, wee badala yake unatafuta mafuta nakujaribisha kuliwasha!!! Mkuu wee acha tu... hii injini ya kilatino hii ni nooouma utafikiri imeratibiwa na kusukwa na mjerumani mkulu wangu. Hata ukiambiwa imeshaolewa mara mia sita na sabini kabla yako nawe utataka ujaribishe tu na kuwa wa 671!!!
Exactly!! Wema Sepetu wa US...... lol
Marc Anthony's first marriage iliisha kwa sababu jamaa alicheat or something... J.L.O ndio hivyo she gets bored with men-IMO sasa ulitegemea nini hapo?ha ha ha.... hayo madongo....
wewe nawe kampikie mumeo
Marc Anthony's first marriage iliisha kwa sababu jamaa alicheat or something... J.L.O ndio hivyo she gets bored with men-IMO sasa ulitegemea nini hapo?
Ila tuache utani JLO kanona kweli kweli pamoja na yote nina uhakika wengi wetu hatutojali kumdate au kuoa kabisa lol...!!
Eq dunia ya leo acha... ni bora hata yeye anaolewa na kuachika...
Others yuko at the age of 30 but number ya nyuma ya guys mmmh!..
I love the way she put her energy katika kutafuta mtoto... she is RED HOT...
Of coz there will always be men who want to marry her without delay...
But at the end of the day.... Marc was not man enough for her!
J-Lo nahisi yeye ndie mwenye matatizo, mwanaume wa 4 huyo mahusiano yanavunjika. Yeye na Hale Berry wana matatizo ambayo hatuyajui. How comes every guy anayejicommit kwa J-Lo/Hale Berry huishia kuingia mitini pamoja na uzuri wao?
Lakini tukubali ana matatizo yanayowakimbiza wanaume, kama wanawake wa ki-K....................Too HOT to handle?? alafu bana give Berry some credit... alikaa mda mrefu na Benet....
Najuwa mnateteana tu, wakati binti keshaoza tayari.Good... hio ni lesson one... ukimfuata uje uchukue two...lol
Lakini tukubali ana matatizo yanayowakimbiza wanaume, kama wanawake wa ki-K....................
Najuwa mnateteana tu, wakati binti keshaoza tayari.
mkuu no one rule of atraction
is we dont choose who we atracted to....
it just happens
Kunguru Hafugiki..Naombeni List ya wanaume wote JLo alowahi kwa nao kimapenzi..sijui itakuwa zamu ya nani mara hii...