Da Asha acha kashfa bana. I would say Marc was not a man for JLo.Always thought Marc was not man enough for J-lo... She is kind of wild...
Da Asha acha kashfa bana. I would say Marc was not a man for JLo.Always thought Marc was not man enough for J-lo... She is kind of wild...
ha ha ha ha umenichekesha jamani, mbona unamshusha chati hivyo?
Da Asha acha kashfa bana. I would say Marc was not a man for JLo.
Kashfa kusema was not a man enough. I think he is a man enough but certainly not for JLo. It is a bit confusing even to me but I hope u undstd my concern.Mjasiria mbona as if unakubaliana na my opinion... Niache kashfa kivipi... naomba niambie may i have not understood...
Kashfa kusema was not a man enough. I think he is a man enough but certainly not for JLo. It is a bit confusing even to me but I hope u undstd my concern.
Huyu mdada kwenye green hapo huwa namsikitikia sana. Coz she seems to be very nice lakini ye tangu aachwe na Brad Pritt love lyf yake imekuwa haieleweki hata kidogo.oh! you mis understood me... of coz he is man BUT the truth remains JLO is too wild for the guy... thus my statement not man enough for Jlo but Man enough for another woman... lets say for instance Jennifer Anniston...
Huyu mdada kwenye green hapo huwa namsikitikia sana. Coz she seems to be very nice lakini ye tangu aachwe na Brad Pritt love lyf yake imekuwa haieleweki hata kidogo.
JLo is not the same without Marc A
Aaaaah nishakusoma da Asha, hivi sikusema eeh? Basi ndio nasema sasa, NIMEKUSOMA DA ASHA. Kuhusu Jenni Aniston kwakweli nadhani uko sahihi ile break up itakuwa ilimuumiza sana. Yaani I dont really understand these things sometimes, coz when u look at her it is simply very difficult to grasp why would someone with monie & hot like her does not seem to get what she wants.Mpaka hapa naona sasa umenielewa kabisa... Jennifer siku hizi ni bandika bandua... naona kuachana na Brad ilimuumiza kuliko alivo pretend...
Aaaaah nishakusoma da Asha, hivi sikusema eeh? Basi ndio nasema sasa, NIMEKUSOMA DA ASHA. Kuhusu Jenni Aniston kwakweli nadhani uko sahihi ile break up itakuwa ilimuumiza sana. Yaani I dont really understand these things sometimes, coz when u look at her it is simply very difficult to grasp why would someone with monie & hot like her does not seem to get what she wants.
Jennifer Anniston is not hot....!! Ndio maana the minute Brad laid his eyes kwa Jolie akaomba na divorce lol.
Uko sahihi mkuu ila hata hivyo mtoto yuko pretty sana yule.Jennifer Anniston is not hot....!! Ndio maana the minute Brad laid his eyes kwa Jolie akaomba na divorce lol.