King'asti, it is very difficult to hide the truth especially when it comes to body language.
mkuu mbona mm niliona ile ndoa ilikua pouwa sana marc anthony katulia saana.Something was not right about this marriage from the beginning.
mkuu mbona mm niliona ile ndoa ilikua pouwa sana marc anthony katulia saana.
King'ast....lol!
Eeh msome tu body language lakini wenyewe hawajasema kitu.Kwa hiyo hiyo haitathibitisha chochote, watu watabaki tu na 'labda labda'King'asti, it is very difficult to hide the truth especially when it comes to body language.
Sio neno ...maana nilitaka nikuulize za asbh/umeamkaje? Afu nikahisi pengine unaweza kuwa hujaamka, nikaishia kucheka.Mi nasoma tu hayo mabandiko yako...lol! Eti povu hata ukigusa kalamu yake....mweeh!bht, nini tena jamani?
which is very good! nawapenda jay dee na cpt g, their marriage is nt all over the press! kuna couples hazina nidhamu u just cant hang with them! bt the main issue is: can u pretend for the rest of ur life? coz then hiyo body language unakuwa unaimiliki!kila wakati ni ku-frown na kununaaa!kupetend ndo mpango mzima, you dont have to tell the world ....hey my marriage is in fire!Si mjaribu kusuluhisha wenyewe mkishindwa mchukue hatua. Hii kuanika anika mambo binafsi kama haya ni mbaya, wengine ndo watakua catalyst na kuharackisha reaction hata kabla ya muda.they have done it their own way pamoja na umaarufu wao.!
Sio neno ...maana nilitaka nikuulize za asbh/umeamkaje? Afu nikahisi pengine unaweza kuwa hujaamka, nikaishia kucheka.Mi nasoma tu hayo mabandiko yako...lol! Eti povu hata ukigusa kalamu yake....mweeh!
dah so alitaka kicheche mwenzie au? wanawake bana.....Sorry not Ab... but ndio tatizo.... katulia mno...
dah so alitaka kicheche mwenzie au? wanawake bana.....
K....hakika huwezi kujifanyisha daima, lakini angalau hakuna sababu ya ww kuutangazia umma ya ndani mwako bana....kila mtu ana mamtizo yake tuskize yako ya nini? (kuna ka wimbo ka hivo)
Ku pretend haimaanish basi ndo ujipinde kwenye ndoa iloshindikana, hapana! ila mjaribu kusuluhisha na ikishindikana part ways!
JD kweli komando! Nawapenda pia hao wawili!
Hongera kwa kuwa mke mwema mwaya!
She will try to go back to P.Diddy, if he is available
Hamna haja ya kutoa faida kwa watu....si busara! Dawa ni sapraizi kama hivo, watu wanabaki....'khaa sikutegemea...'Heheeee ww bana...eti mzigo unautema! Mweeh! jitihada inatakiwa kwenye hii taasisi takatifuNadhani hapo tuko pamoja. hakuna haja ya kugombana mbele za watu na hasa watoto na mfanyakazi. asante, kuwa mke mwema ni neema ya Mungu tu,sisi ni wanadamu na tumezaliwa na dhambi. ila mzigo ukinishanda ndo sitajivunga,lol