barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,324
- 29,586
Tumieni hii karata uchaguzi 2020Wadau
Hivi Magufuli huwa haoni aibu anapopita pale ubungo hasa akiangalia ile interchange ilivyo na lile jengo la Tanesco aliliolibomoa

Mkuu picha...Wadau
Hivi Magufuli huwa haoni aibu anapopita pale ubungo hasa akiangalia ile interchange ilivyo na lile jengo la Tanesco aliliolibomoa
Sitachangia uzi wako .Wadau
Hivi Magufuli huwa haoni aibu anapopita pale ubungo hasa akiangalia ile interchange ilivyo na lile jengo la Tanesco aliliolibomoa
Wadau

Angalia noti ya sh 500 lipo ile ya nyererePicha tafadhali maana wengine tupo ndanindani huku kwa mkoyoyo
Kalijengeni kama inawauma...Moja yaaamuzi ya kipuuzi sana yaliyojaaa hisia binafsi ni ishu ya kubomoa jengo lile
Sent using Jamii Forums mobile app
Sheria ndio imebomoa sio magufuliWadau
Hivi Magufuli huwa haoni aibu anapopita pale ubungo hasa akiangalia ile interchange ilivyo na lile jengo la Tanesco aliliolibomoa
Moja yaaamuzi ya kipuuzi sana yaliyojaaa hisia binafsi ni ishu ya kubomoa jengo lile
Sent using Jamii Forums mobile app
Picha tafadhali maana wengine tupo ndanindani huku kwa mkoyoyo
Wadau
Hivi Magufuli huwa haoni aibu anapopita pale ubungo hasa akiangalia ile interchange ilivyo na lile jengo la Tanesco aliliolibomoa
Ndio hili hapa! Na hapo ni siku ya Uzinduzi wake. View attachment 1351531
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu baadae atashtakiwa kwa uhujumu uchumi!Ushamba umemjaa!!!
Daraja lipo kwingine na jengo lipo mbali kabisa sidhani kama kulikuwa na haja ya kuvunja lile jengo la tanesco