Jengo la Tanesco Ubungo

Before & after
20200209_080119.jpeg
20200209_080058.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushamba umemjaa!!!
Daraja lipo kwingine na jengo lipo mbali kabisa sidhani kama kulikuwa na haja ya kuvunja lile jengo la tanesco
Lengo lake lilikuwa ni kumkomoa Lowassa..........

Kwani inasemekana kuwa Jengo hilo ni mali yake na wakati huo alikuwa bado yuko opposition

Si unajua tena huyo Mzee alivyo ni mtu wa visasi?
 
Mtu yeyote mwenye roho mbaya, husda, chuki, visasi na mambo yanayofanana na hayo huwa kwake hana la kujutia.
Yeye nia yake nikuwaonyesha watu umwamba na nguvu aliyonayo.
Iko siku isiyo na jina atakuja kupiga kelele hadharani na hapo kutakuwa hakuna hata wa kumsikiliza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kweli mzee baba alikurupuka sana, hakukuwa hata na sababu za kulishusha like jengo as lipo mbali sana na ile structure mpya pale. Labda kama kipo kingine cha kujengwa baada ya ile barabara.
 
Back
Top Bottom