Prof Koboko
JF-Expert Member
- Aug 15, 2020
- 350
- 2,549
Analipa fadhila ya kupewa udc kwa samiaNchi kila kukicha tunazungumzia kujenga ustawi wa demokrasia na kupunguza chuki na uhasama ili kulinda amani ya taifa.Kwa kiburi cha hali ya juu kabisa DC wa Bunda akijiita Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama amevuja jengo la Ofisi ya CHADEMA Wilaya ambalo wananchi alijitolea michango yao kwa nyoyo zao.
Hiyo ni ofisi!!!??
ipige picha vizuri
Wapo makamanda uchwara wamepiga sementi yote naona mchanga mkavu tu hapo ,Nchi kila kukicha tunazungumzia kujenga ustawi wa demokrasia na kupunguza chuki na uhasama ili kulinda amani ya taifa.Kwa kiburi cha hali ya juu kabisa DC wa Bunda akijiita Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama amevuja jengo la Ofisi ya CHADEMA Wilaya ambalo wananchi alijitolea michango yao kwa nyoyo zao.
CCM wameanza kumchonganisha. Hawezi kuwa na akili hizoNchi kila kukicha tunazungumzia kujenga ustawi wa demokrasia na kupunguza chuki na uhasama ili kulinda amani ya taifa.Kwa kiburi cha hali ya juu kabisa DC wa Bunda akijiita Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama amevuja jengo la Ofisi ya CHADEMA Wilaya ambalo wananchi alijitolea michango yao kwa nyoyo zao.
Nataka kujua, huyu msaliti mkubwa anafikiri kufanya hivyo ndiyo njia ya kukisaidia CCM kibaki madarakani? Anafanya hivi ili iweze kumsaidia kitu gani yeye na familia yake? Bila kua DC ana nguvu ya kufanya huu upuuzi anaoufanya? Ni Wilaya ngapi nchi hii kuna ofisi za CHADEMA?
Huu USabaya una mwisho wake na Nassari usijione kiburi hutoachwa ni swala la muda tu. Leo hapo ulipo unavimba kwa sababu ya CHADEMA na wala hakuna ambaye angekuja wewe.
View attachment 1982957
Bila shaka ni genge la UVCCM waliokosa teuzi wanamuonea gere sasa wanamfitinisha.Kuna viumbe wasio jitambua na kujielewa duniani! ila huyu Joshua Nassari na mwenzake Patrobas Katambi, nadhani wanavunja rekodi.
Sio kwamba ni wanaccm waliokosa teuzi wanamfitinisha?? Kumbuka huwezi kuteuliwa kutoka chadema wakakupenda.Huyu dogo kuna watu leo ni vilema, wengine walishawazika ndugu zake, ili tu yeye awe mbunge, leo anafanya hivyo, mm n ccm lakin matendo ya hivyo huwa nayachukia!
Mbona wewe huna hata hicho kichumba mpaka Leo na umri umekupa mkono?Hicho kijichumba ndio ofisi?
Umeuliza sababu ya kubomoa au umeamua kumuhukum tuNchi kila kukicha tunazungumzia kujenga ustawi wa demokrasia na kupunguza chuki na uhasama ili kulinda amani ya taifa.Kwa kiburi cha hali ya juu kabisa DC wa Bunda akijiita Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama amevuja jengo la Ofisi ya CHADEMA Wilaya ambalo wananchi alijitolea michango yao kwa nyoyo zao.
Nataka kujua, huyu msaliti mkubwa anafikiri kufanya hivyo ndiyo njia ya kukisaidia CCM kibaki madarakani? Anafanya hivi ili iweze kumsaidia kitu gani yeye na familia yake? Bila kua DC ana nguvu ya kufanya huu upuuzi anaoufanya? Ni Wilaya ngapi nchi hii kuna ofisi za CHADEMA?
Huu USabaya una mwisho wake na Nassari usijione kiburi hutoachwa ni swala la muda tu. Leo hapo ulipo unavimba kwa sababu ya CHADEMA na wala hakuna ambaye angekuja wewe.
View attachment 1982957
DC wa Bunda