MzeeKipusa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 2,705
- 4,978
- Thread starter
-
- #161
Umeishakunywa chai Ndugu?..,Narudia, CHAWA Utawajua TU!...Hayo MAJIBU ya Waziri wa Elimu na Waziri wa Afya, Yana jipya Gani ambalo hatujakusikia huko Nyuma kiasi kwamba yamekuwa kama Santuri iliyokwama na inajirudia rudia na haiendi mbele?? Fungus Macho !...!!!
Mbongo bana wana eagle eyes kwa mambo madogo madogo badala watumie macho yao kwenye nyanja za uchumi huko?Mbona kuna mitungi ya gesi chakavu?
...Kitu Kizuri unaona wewe.... Na Mwingine aliyekatwa Kodi yake hakioni ni Kizuri ! Ni HAKI yake Kusema !Sasa malalamiko na makasiriko ya nini wakati kitu kizuri kimefanyika?
Maendeleo hayana chama...Kitu Kiziri unaona wewe.... Na Mwingine aliyekatwa Kodi yake hakioni ni Kizuri ! Ni HAKI yake Kusema !
Ngoja tuone.Kwà zindiko la leo, nakuhakikishia...hawataendelea na mchezo huo
Ikulu ya dodoma imejengwa na Magufuli na siyo samiaJengo la Ikulu , Chamwino Dodoma lina tarajiwa KUZINDULIWA leo tarehe 20. May. 2023 Jumamosi na Mhe. Rais Dkt. SAMIA SULUHU HASSAN ( Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Sita )
Namuomba sana MUNGU, aliwekee WOGA, HOFU, WASIWASI na MASHAKA,.. ili liweze kukaliwa na watu sahihi. Na wale wasiokua sahihi wasipate nafasi hata ya kulisogelea.
"Ikulu ni mahala patakatifu" Mwl. Nyerere ( Hayati Baba Wa Taifa )
"MUNGU IBARIKI AFRIKA, MUNGU IBARIKI TANZANIA"
OMBI LANGU KWA MUNGU WANGU : Naomba huo MTI WA KUMBUKUMBU utakaopandwa na Mhe. Rais Leo hii, MUNGU akaupe uwezo wa kutoa VITISHO kwà kuwapa WOGA na WASIWASI mahasimu wote wasioitakia mema Nchi yetu, na pia ukawe na uwezo wa KUWABABAISHA maadui wote wenye nia ovu katika Taifa letu kwà kuwapa HOFU na MASHAKA makubwa.
View attachment 2628286

Imejengwa na RAIS ( Usiweke majina )Ikulu ya dodoma imejengwa na Magufuli na siyo samia
Huo MTI utawaumbua sana. Hawata amini.Ngoja tuone.
Yes mkuu...Unakuwa Wajibu Wetu vipi wa Kumuombea Kwa Mungu kama haendeshi Nchi Vizuri ??[emoji848]
Ungeweza Kumuombea mema Kwa Mungu Iddi Amina Dada wa Majirani ?? [emoji848][emoji848]
Acheni hizo.Utakatifu ni kwa Mungu tu.Iluku si patakatifu.Ikulu ni mahala patakatifu, na ndipo ilipo madhabahu ya Serikali.
Na ndio maana inalindwa sana kuliko hata Rais alindwavyo.
Good pointYes mkuu
Usipomuombea kwa Mungu amlinde na kumuongoza jiandae kuishi kama mkimbizi kwa sababu shetani atashika usukani kumuongoza.
Iddi Amin alikuwa adui wa Nyerere hadi kuwa adui wa Taifa.
Mungu anawanyeshea mvua za baraka wema na wabaya
Amani ya Tanzania imejengwa kupitia uoga na hofu zinazopandikizwa kwa wananchi...Na tunaaminishwa kuwa ni Nchi ya ' Amani, Utulivu na Mshikamano'!
Nchi wanazouana Ovyo kama Marekani Ikulu ni Mahali pa Wananchi kutembelea na kupiga picha za Ukumbusho.kwenye Fence yake. Jaribu Tanzania....!!?
Huo ni mtizamo wako.Acheni hizo.Utakatifu ni kwa Mungu tu.Iluku si patakatifu.
Ninamiliki kadi moja tu ya chama ya CCM na nimelipia adaCDM bhana! Yani nyie KILA kitu mnalalamika! Hamna jema!!! Daah
Nitasema Kweli Daima, fitina kwangu mwiko.Sasa kwanini unaziponda jitihada za Mwenyekiti wako? Au kwasababu wewe ni Msanii
Ulitaka lijengwe kama kanisa la zumaridi?Aisee haijanivutia,Kama masjid nurat
Nasikia ni 16 billions...View attachment 2628292View attachment 2628293View attachment 2628294
Victorian Architecture. Miaka 200 iliyopita. Sisi tunakuja kujenga pagala halafu gharama yake sasa unaweza kuzirai
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajua nacheka nini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hii ni maajabu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ulitaka lijengwe kama kanisa la zumaridi?