MzeeKipusa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 2,705
- 4,978
- Thread starter
- #221
Takbir!!!!Namshukuru Allah kwa neema ya Uislam na Sunnah.
Takbir!!!!Namshukuru Allah kwa neema ya Uislam na Sunnah.
Ndiyo. Ukuta mweupe, tena mrefu kwà kwenda juu. MneneHivi hilo eneo lote za Ikulu (ekari 8,473) limezungushiwa uzio?
Ndiyo yule kichaa akitoa pesa za ukuta wenye urefu wa 27KMHivi hilo eneo lote za Ikulu (ekari 8,473) limezungushiwa uzio?
Hayo yako Tena,siko kwenye mlengo wa dini Mimi...nataka ijengwe Kama Ngome ya mtemi Mkwawa,Mangi Sina,mtemi Mirambo,mtemi Kibasila na mtemi TambazaUlitaka lijengwe kama kanisa la zumaridi?
Yule alikua KICHWANdiyo yule kichaa akitoa pesa za ukuta wenye urefu wa 27KM
Ndio Ikulu ishajengwa sasa kama vile. Utake usitake. Ufurahi usifurahi.Burj Khalifa ipo Kwa waarabu imejengwa Kwa mfumo wa Brian Deacon nyie wamatumbi ni Nani mbishe?
Wapo watu wangesema , ina Muundo wa Kikabila. Imekaa kaa kikabilakabila sana. Wangeiponda kama unavyoiponda hii ya sasaHayo yako Tena,siko kwenye mlengo wa dini Mimi...nataka ijengwe Kama Ngome ya mtemi Mkwawa,Mangi Sina,mtemi Mirambo,mtemi Kibasila na mtemi Tambaza
MsaniiMrisho mpoto na uvaaji wa vazi lenye shela ana maana gani?[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ramani ya kikoloniYaani hata architects wa Victorian age wasinge design utopolo kama huu
Tukubali tu hiyo wamebugi Aisee...ni nzuri Ila haina memory nzuri Kwa taifaWapo watu wangesema , ina Muundo wa Kikabila. Imekaa kaa kikabilakabila sana. Wangeiponda kama unavyoiponda hii ya sasa
Hapana vile vile lilivyo liko vizuri.Hayo yako Tena,siko kwenye mlengo wa dini Mimi...nataka ijengwe Kama Ngome ya mtemi Mkwawa,Mangi Sina,mtemi Mirambo,mtemi Kibasila na mtemi Tambaza
Mnafiki tu, anashindwa kusema inafanana na msikiti tu. Wanaingilia dini za watu sio poa" Ikulu ya Chamwino , ina sura na mfano wa umbo la Tanzanite " Mrisho Mpoto
Nami nimesema hivyo hivyo🤣Aisee haijanivutia,Kama masjid nurat
Mywangu na wewe umeona eeh?Ramani ya kikoloni
Kumakaa kijangwa jangwaVp kumepandwa miti
Ova
Iko wazi mbona?Mywangu na wewe umeona eeh?