ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,285
- 88,307
Sijazipenda Toka awali Wala sio Leo ,Toka walivyoanza nilisema Kwa nini tusije na design yetu?Hujaipenda? Au kwà kuwa umezoea kuiona mara kwà mara , imekukinai au sio?

Wabongo mnapenda mijadala sana. Ingeleta mjadala!Sijazipenda Toka awali Wala sio Leo ,Toka walivyoanza nilisema Kwa nini tusije na design yetu?
Ulimi hauna mfupa #MonitoringSpiritsLeo Mbona Waheshimiwa wanachapia sana? Nimeona kwa Kikwete na Samia.
Mungu hasikilizi dua za mwenye dhambi.Bungeni kila siku wanaanza na dua, viongozi kila siku wakiungia madarakani wanaapa, tena kwa kushika vitabu vya dini lakini bado hawatendi haki, wanafanya ufisadi, wanadhulumu, wanaonea raia nk sasa unadhani hiyo dua yako ndiyo italeta mabadiliko?? Ikiwa unayelazimisha aombewe hana hata chembe ya kumuogopa Mungu unatarajia nini hapo? [emoji12] [emoji12]
Sio kweli.Leo hotel zote zimejaa
Jengo la Ikulu , Chamwino Dodoma lina tarajiwa KUZINDULIWA leo tarehe 20. May. 2023 Jumamosi na Mhe. Rais Dkt. SAMIA SULUHU HASSAN ( Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Sita )
Namuomba sana MUNGU, aliwekee WOGA, HOFU, WASIWASI na MASHAKA,.. ili liweze kukaliwa na watu sahihi. Na wale wasiokua sahihi wasipate nafasi hata ya kulisogelea.
"Ikulu ni mahala patakatifu" Mwl. Nyerere ( Hayati Baba Wa Taifa )
"MUNGU IBARIKI AFRIKA, MUNGU IBARIKI TANZANIA"
OMBI LANGU KWA MUNGU WANGU : Naomba huo MTI WA KUMBUKUMBU utakaopandwa na Mhe. Rais Leo hii, MUNGU akaupe uwezo wa kutoa VITISHO kwà kuwapa WOGA na WASIWASI mahasimu wote wasioitakia mema Nchi yetu, na pia ukawe na uwezo wa KUWABABAISHA maadui wote wenye nia ovu katika Taifa letu kwà kuwapa HOFU na MASHAKA makubwa.
View attachment 2628286
YesAmen. Mwenyezi Mungu asiruhusu watu wasiofaa waliongoze Taifa letu. Maana wanaweza kuweka pacts zao na shetani. Na kuua undungu na umoja wetu.
Wale ambao wana matumbo yasiyoshiba...wakauza baraka ya uzaliwa wa kwanza kwa bakuli ya ndengu, kama Esau alivyomuuzia Jacob mdogo wake sababu ya kuendekeza njaa
Nauliza tu hivi kwanini ikulu nyingi majengo yake hayaendi juu zaidi? Let's say ghorofa 5 na kue delea? Kuokoa eneo kubwaJengo la Ikulu , Chamwino Dodoma lina tarajiwa KUZINDULIWA leo tarehe 20. May. 2023 Jumamosi na Mhe. Rais Dkt. SAMIA SULUHU HASSAN ( Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Sita )
Namuomba sana MUNGU, aliwekee WOGA, HOFU, WASIWASI na MASHAKA,.. ili liweze kukaliwa na watu sahihi. Na wale wasiokua sahihi wasipate nafasi hata ya kulisogelea.
"Ikulu ni mahala patakatifu" Mwl. Nyerere ( Hayati Baba Wa Taifa )
"MUNGU IBARIKI AFRIKA, MUNGU IBARIKI TANZANIA"
OMBI LANGU KWA MUNGU WANGU : Naomba huo MTI WA KUMBUKUMBU utakaopandwa na Mhe. Rais Leo hii, MUNGU akaupe uwezo wa kutoa VITISHO kwà kuwapa WOGA na WASIWASI mahasimu wote wasioitakia mema Nchi yetu, na pia ukawe na uwezo wa KUWABABAISHA maadui wote wenye nia ovu katika Taifa letu kwà kuwapa HOFU na MASHAKA makubwa.
View attachment 2628286
Lazima watalifanyia Kazi suala hiloIkulu nzuri sana. Wapande miti na green ya kutosha.
Wajenzi huru ... mafundi sanaaa 🙌🏾View attachment 2628292View attachment 2628293View attachment 2628294
Victorian Architecture. Miaka 200 iliyopita. Sisi tunakuja kujenga pagala halafu gharama yake sasa unaweza kuzirai
Mungu mbariki rais Samia kwa kukamilisha ujenzi huu, na mbariki zaidi Mwalimu Nyerere kwa wazo la kujenga Ikulu paleJengo la Ikulu , Chamwino Dodoma lina tarajiwa KUZINDULIWA leo tarehe 20. May. 2023 Jumamosi na Mhe. Rais Dkt. SAMIA SULUHU HASSAN ( Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Sita )
Namuomba sana MUNGU, aliwekee WOGA, HOFU, WASIWASI na MASHAKA,.. ili liweze kukaliwa na watu sahihi. Na wale wasiokua sahihi wasipate nafasi hata ya kulisogelea.
"Ikulu ni mahala patakatifu" Mwl. Nyerere ( Hayati Baba Wa Taifa )
"MUNGU IBARIKI AFRIKA, MUNGU IBARIKI TANZANIA"
OMBI LANGU KWA MUNGU WANGU : Naomba huo MTI WA KUMBUKUMBU utakaopandwa na Mhe. Rais Leo hii, MUNGU akaupe uwezo wa kutoa VITISHO kwà kuwapa WOGA na WASIWASI mahasimu wote wasioitakia mema Nchi yetu, na pia ukawe na uwezo wa KUWABABAISHA maadui wote wenye nia ovu katika Taifa letu kwà kuwapa HOFU na MASHAKA makubwa.
View attachment 2628286
Nasikia wazo lilitoka kwà Ndugu yake Nyerere. Nyerere akakomaa naloMungu mbariki rais Samia kwa kukamilisha ujenzi huu, na mbariki zaidi Mwalimu Nyerere kwa wazo la kujenha Ikulu pale
Kwa sala yote hiyo ndefu, sijaona popote ukifunguka kulaani viongozi mafisadi wanaokengeuka maadili ya viongozi hivi sasa na wapo wanaiba.Jengo la Ikulu , Chamwino Dodoma lina tarajiwa KUZINDULIWA leo tarehe 20. May. 2023 Jumamosi na Mhe. Rais Dkt. SAMIA SULUHU HASSAN ( Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Sita )
Namuomba sana MUNGU, aliwekee WOGA, HOFU, WASIWASI na MASHAKA,.. ili liweze kukaliwa na watu sahihi. Na wale wasiokua sahihi wasipate nafasi hata ya kulisogelea.
"Ikulu ni mahala patakatifu" Mwl. Nyerere ( Hayati Baba Wa Taifa )
"MUNGU IBARIKI AFRIKA, MUNGU IBARIKI TANZANIA"
OMBI LANGU KWA MUNGU WANGU : Naomba huo MTI WA KUMBUKUMBU utakaopandwa na Mhe. Rais Leo hii, MUNGU akaupe uwezo wa kutoa VITISHO kwà kuwapa WOGA na WASIWASI mahasimu wote wasioitakia mema Nchi yetu, na pia ukawe na uwezo wa KUWABABAISHA maadui wote wenye nia ovu katika Taifa letu kwà kuwapa HOFU na MASHAKA makubwa.
View attachment 2628286
Inawezekana.Nasikia wazo lilitoka kwà Ndugu yake Nyerere. Nyerere akakomaa nalo