Jengo la Ikulu, Chamwino Dodoma

Jengo la Ikulu, Chamwino Dodoma

Sio RC tena?

Sio RC ni hao wazee wa bismillah na ndio waasisi wa Tanu nyerere alitumika tu kama kivuli kwa kuwa alisoma na ni mkristo hivyo angewezana na waktisto wenzake (wakoloni) kudai uhuru lakini wao ndo walishika uskani nyuma ya pazia. Huo hata mlangoni ikulu kuna maneno ya kiarabu.
 
Sio kweli bhana!!
 
Halafu kuna mijitu ikataka kuanza kuzusha mambo ya Corona.....kikowapi?????

Check Mama anavyokumbatiana na watu bila barakoa....
 
Sio kweli bhana!!

Wakamtuma nyerere ajiunge na zanzibar kwa kuwa zanzibar haina rasilimali hivyo walitegemea kuinyonya tz. Wakamtuma akawazuie wachaga,Wahaya,na wanyakyusa madarakani coz haya makabila large percentage yalikuwa ni ya kikristo hivyo wangeingia madarakani wasingesupport ujinga wao. Na wangendeleza maeneo mengine nchi hii ambayo sio dar wala pwani mambo ni mengi
 
Aseee we bro ni bodaboda nini?

Maana hizi story ni za mabodaboda wanapokuaga kwenye vijiwe vyao. Full kupiga story huku wakiwa wamelala juu ya pikipiki zao wakisubiri wateja
 
Jengo la Ikulu , Chamwino Dodoma lina tarajiwa KUZINDULIWA leo tarehe 20. May. 2023 Jumamosi na Mhe. Rais Dkt. SAMIA SULUHU HASSAN ( Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Sita )

Namuomba sana MUNGU, aliwekee WOGA, HOFU, WASIWASI na MASHAKA,.. ili liweze kukaliwa na watu sahihi. Na wale wasiokua sahihi wasipate nafasi hata ya kulisogelea.

"Ikulu ni mahala patakatifu" Mwl. Nyerere ( Hayati Baba Wa Taifa )

"MUNGU IBARIKI AFRIKA, MUNGU IBARIKI TANZANIA"

OMBI LANGU KWA MUNGU WANGU : Naomba huo MTI WA KUMBUKUMBU utakaopandwa na Mhe. Rais Leo hii, MUNGU akaupe uwezo wa kutoa VITISHO kwà kuwapa WOGA na WASIWASI mahasimu wote wasioitakia mema Nchi yetu, na pia ukawe na uwezo wa KUWABABAISHA maadui wote wenye nia ovu katika Taifa letu kwà kuwapa HOFU na MASHAKA makubwa.

View attachment 2628286
Copy and paste ,hamna kitu
 
Sio KILA kitu lazima kiwe wazi. Akili za kuambiwa changanya na zako. Kumbuka Ikulu ni jengo la ULINZI NA USALAMA.

Wakwambie KILA kitu publically , we nani?
Wame copy na ku paste ramani ya Dar japo najua Baadhi ya vitu na sections humo ndani zimebadilishwa ila muonekano wa Nje ni ule ule..

Tunge design muonekano Wetu Ili Ikulu ya Dar iwe jumba la makumbusho
 
Hujaipenda? Au kwà kuwa umezoea kuiona mara kwà mara , imekukinai au sio?
 
Back
Top Bottom