Jengo la Ikulu, Chamwino Dodoma

Nitasema Kweli Daima, fitina kwangu mwiko.

Je ninayoyakosoa ni ya uongo kwani?
Naunga vipi mkono mambo yanayolifanya Taifa na jamii kuwa kwenye mkwamo?

Chama changu kimekumbatia matajiri na majambazi
Nshakujua wewe,....hizi ni hasira za Kukosa mualiko! Pole sana Ndugu.

Na ndio maana nikasema , wale wote wasiokua wazelendo hawapaswi kufika IKULU
 
Ni kweli kabisa, enzi za Mwl tulikuwa tunakatiza jirani kabisa na fensi ya Ikulu na kuwashangaa Tausi na wanyama wengine bila tatizo lolote. It was public place...
 
Hata kama haendeshi nchi vizuri, ni wajibu wetu kumuombea kwa Mungu amuongoze na kumlinda kiongozi wetu kwani yeye ndiye hutoa ulinzi na hekima
Bungeni kila siku wanaanza na dua, viongozi kila siku wakiungia madarakani wanaapa, tena kwa kushika vitabu vya dini lakini bado hawatendi haki, wanafanya ufisadi, wanadhulumu, wanaonea raia nk sasa unadhani hiyo dua yako ndiyo italeta mabadiliko?? Ikiwa unayelazimisha aombewe hana hata chembe ya kumuogopa Mungu unatarajia nini hapo? [emoji12] [emoji12]
 
Wewe umejuaje kuwa hamuogopi Mungu?
 
Akili za kiboya hizi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…