<br />Cant anybody speak english?
ni kweli sheria inazuia kujenga ndani ya hifadhi ya barabara ila inazuia kujenga
1- permanent structure
2- kujenga bila kuwa na kibali cha tanroads na kibali ili kipitishwe inabidi uwasilishe michoro ya hicho unachotaka kujenga
3- unajenga au kuendeleza eneo la hifadhi ya barabara kwa ruhusa ya tanroads ..na sio kuwa unalimiliki wewe still litatumika na public kama kawaida ila wewe unakuwa ni kama "guardian angel" wa eneo hilo
4- ukijenga hizo temporary development na preferably isiwe jengo..i mean landscape both soft and hard landscape features pia ukiombwa kuzibomoa ufanye hivyo na kwa gharama zako
nimewasilisha kadiri ya uelewa wangu wa kitaalamu....
Na lile la is it NSSF? pale makutano ya Bibi Titi na Morogoro Rd. Linakera kweli kweli.
Acha umbea Umetumwa?Ndugu wana JF, kuna jengo la gorofa kati ya Kituo cha Mafuta cha Bamaga na Maryland Bar upande wa kushoto kama unatokea Posta kwenda Mwenge liko hatua za mwisho. Yaani, karibu litafunguliwa. Cha kushangaza ni kwamba wanajenga 'car park' sehemu ya hifadhi ya barabara (yaani, wameacha tu kama mita 5 hivi kutoka barabarani. Je, ujenzi huu haukukiuka sheria za nchi za kujenga kwenye hifadhi ya barabara? Je, wamiliki wote walio karibu na barabara wanaweza pia kutumia sehemu ya hifadhi ya barabara kama alivyofanya mmiliki wa jengo hili au ndicho kile kinachoitwa "money speaks"? Naomba tujadili kama ujenzi kama huu ndio Dr Magufuli anaoutaka na kama siyo je, atakuwa na ubavu wa kuwaambia wabomoe hiyo 'car park'? Nawasilisha!
Ni sawa kabisa, naomba ubadilishe post weka ghorofa na si golofa ....
Mkutano wa wakandarasi unaoendelea ni forum muhimu kuadress vitu kama hivi na vinginevyo vinavyofanywa na wataalamu walioweka pesa mbele
Acha umbea Umetumwa?