- Thread starter
- #21
Angalia vizuri, anachofanya huyo jamaa ni garden tu na wala sio parking. Ni sawa na jarini zake wanaouza maua na miti. Mi nadhani ni vyema kwani anapendezesha eneo hilo. Ni kama pale Nakiete House
Asante kwa kunielewesha!
Angalia vizuri, anachofanya huyo jamaa ni garden tu na wala sio parking. Ni sawa na jarini zake wanaouza maua na miti. Mi nadhani ni vyema kwani anapendezesha eneo hilo. Ni kama pale Nakiete House
Mkuu kwani kila nachokiona ni lazima ukiseme?.........MBONA husemi Mitambo iliyokuwa ya DOWANS sasa ni ya wamerikani (symbions)?.......wivu tuuuuu..............Afterall, sijui jengo lenyewe ni la nani: sijui kama ni la manispaa, la serikali au mtu binafsi. Anyaway, kama kusema nilichoona ndiyo kutumwa basi wasiosema wanachoona au wanaosema wasichoona hawajatumwa! Na wewe ni mmoja wao - unasema usichoona na kama ukiona huwezi kukisema ulichoona. Ni wazi kuwa ukiona mtu ananyanyasika na ukaulizwa kama umeona nini ili usije ukaambiwa umetumwa na ili kuonesha hujatumwa utasema hujaona kitu. Hauko peke yako. Nchi yetu imejaa watu wa aina yako! Keep it up if you profit from not saying what you see!
Mkuu kwani kila unachokiona ni lazima ukiseme?.........MBONA husemi Mitambo iliyokuwa ya DOWANS sasa ni ya wamerikani (symbions)?.......wivu tuuuuu..............Afterall, sijui jengo lenyewe ni la nani: sijui kama ni la manispaa, la serikali au mtu binafsi. Anyaway, kama kusema nilichoona ndiyo kutumwa basi wasiosema wanachoona au wanaosema wasichoona hawajatumwa! Na wewe ni mmoja wao - unasema usichoona na kama ukiona huwezi kukisema ulichoona. Ni wazi kuwa ukiona mtu ananyanyasika na ukaulizwa kama umeona nini ili usije ukaambiwa umetumwa na ili kuonesha hujatumwa utasema hujaona kitu. Hauko peke yako. Nchi yetu imejaa watu wa aina yako! Keep it up if you profit from not saying what you see!
Mkuu kwani kila unachokiona ni lazima ukiseme?.........MBONA husemi Mitambo iliyokuwa ya DOWANS sasa ni ya wamerikani (symbions)?.......wivu tuuuuu..............
ni kweli sheria inazuia kujenga ndani ya hifadhi ya barabara ila inazuia kujenga
1- permanent structure
2- kujenga bila kuwa na kibali cha tanroads na kibali ili kipitishwe inabidi uwasilishe michoro ya hicho unachotaka kujenga
3- unajenga au kuendeleza eneo la hifadhi ya barabara kwa ruhusa ya tanroads ..na sio kuwa unalimiliki wewe still litatumika na public kama kawaida ila wewe unakuwa ni kama "guardian angel" wa eneo hilo
4- ukijenga hizo temporary development na preferably isiwe jengo..i mean landscape both soft and hard landscape features pia ukiombwa kuzibomoa ufanye hivyo na kwa gharama zako
nimewasilisha kadiri ya uelewa wangu wa kitaalamu....