Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 17,433
- 20,358
Sasa kama wazazi walishatangulia unafanyaje?Jengeni kwa wazazi kwanza mjini tunapita tu
Sasa kama wazazi walishatangulia unafanyaje?Jengeni kwa wazazi kwanza mjini tunapita tu
Ni kama tu kule kwetu "Tukuyu".....Sema mkuu kuna sehemu ukijenga kiboya,wanakuondoa fasta. Kuna vijiji havifai hata wenyeji wakienda kusalimia anaingia usiku sana na kutoka alfajiri sana
2017 na Barakoa mzee??Ni kota za polis mkoani mara wilayani bunda ,huyu polis alijiuwa mwaka 2017
Tupeane mbinu wajuba namna ya kujenga home kwanza.Maana wakati mwingine unakuta una familia yako huna kiwanja wala nyumba na upande wa pili maskani pia kunahitajika nyumba ya hadhi
Ndiyo Ukweli WenyeweDuniani tunapita tu wakuu, kwanini ujisumbue kujenga njiani?
Bhoke Munanka alijenga kwao Tarime jumba kubwa sana ambalo kila aliyekuwa akiingia tarime mjini lazima ataliona kwa vile lilikuwa kilimani; nadhani lilikuwa na vyumba karibu 10. Lakini lakini yeye mwenyewe alikuwa anaishi Dar na familia yake mpka jumba lile likawa maskani ya nyoka wakazaliana mle. Alipofariki alizikwa Kinondoni, hakupelekwa kwenye jumba hilo.Nimeona picha hii sijui alikuwa kiongozi ila mpaka kifo kimemfikia naona kwao alikuwa kashindwa kupaendeleza.
Hivi hawa watu wapo
View attachment 1763679
2017 barakoa walikuwa wanaovaa Hospital Tu. Hii kitu ni ya 2020- 2021 Ila sidhani kama ni TZ. Hatuna utamaduni WA kubebesha Wanawake majeneza.Ni kota za polis mkoani mara wilayani bunda ,huyu polis alijiuwa mwaka 2017
Wametangulia kujenga ama?Sasa kama wazazi walishatangulia unafanyaje?
Hawakua na uwezo wa kujenga wakadunduliza kukusomeshaKwanini wazazi wasijenge kwao?,na mimi nikajenga kwangu?
Home ni alama, panabaki kama makumbusho mkuu. Hata kama umetokea kwenye nyumba za tembe zinafakiwa kubaki hivyo kama ukumbusho.. tunajenga huku bahari beach , na home katika maeneo mapya ila sio kitovuni 🙄🙄🙄🙄Yaani wajenge siku wakifa au,!?sijaelewa heading ya uzi..
Dunia tunapita tuu ujenzi wa nini tena?Vijana wa kiume huwa hamkumbuki kutengeneza kwenu
Hivi nani anapaswa kuyengeneza nyumbani kwenu baba au wewe?je nani atatengeza kwako au utasubiri mtoto wako aje akutengenezee na wewe,na kwanini ukazikwe kwenu ambako baba yako hajatengeneza?Vijana wa kiume huwa hamkumbuki kutengeneza kwenu
Duh, ama kweli mtoto halali na hela! Hapana, wametangulia mbele ya haki!Wametangulia kujenga ama?
Unajenga tuDuh, ama kweli mtoto halali na hela! Hapana, wametangulia mbele ya haki!