Nyaru-sare
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 5,261
- 3,735
Ameshazaa huko?? wee nipe hivohivo!!Dada ninaye mmoja yeye kashaolewa wengine wote boys
Ameshazaa huko?? wee nipe hivohivo!!Dada ninaye mmoja yeye kashaolewa wengine wote boys
ni kweli kabisa ni wanawake wachache saaaaaaana wanatokea kuwapa suport wanaume ili wajenge kwaoWachache hao
Si kweli,,kipindi hichi barakoa hazikuwa issue za kutumika kiivoNi kota za polis mkoani mara wilayani bunda ,huyu polis alijiuwa mwaka 2017
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Duniani tunapita tu wakuu, kwanini ujisumbue kujenga njiani?