Jengeni kwenu

Jengeni kwenu

Hehe hapa duniani tunapita tuu,
Asa kwanini tujenge kwa njia badala ya kula maisha.
 
Na unaweza kuta mimba yake ilibebewa/shikiwa kwenye hiyo nyumba na kakuliwa kwenye hiyo nyumba na mazingira yake.
 
Kuna kamishna mmoja wa magereza Tanzania alifariki huko mkoani Mbeya alikokuwa kikazi, alivopelekwa kwao Tanga ilikuwa ni aibu...walikuta nyumba za makuti na hali mbaya ya makazi....Tukumbuke home wakuu...hata kama hatuna nafasi kivile...na laana kubwa ni unapomjengea mwanamke/Malaya wakati wazazi wako wanaishi kwenye tembe
 
Sema mkuu kuna sehemu ukijenga kiboya,wanakuondoa fasta. Kuna vijiji havifai hata wenyeji wakienda kusalimia anaingia usiku sana na kutoka alfajiri sana
 
Back
Top Bottom