Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,113
- 72,576
Ni kweli lakin kuwaacha wazee wananyeshewa mvua sio poaHivi nani anapaswa kuyengeneza nyumbani kwenu baba au wewe?je nani atatengeza kwako au utasubiri mtoto wako aje akutengenezee na wewe,na kwanini ukazikwe kwenu ambako baba yako hajatengeneza?
Baba yako atazikwa kwake ambapo hajateneza kwani ukiumwa huwa unaenda kutibiwa kwenu?
Sera za extended family hizo zimepitwa na wakati
Unakuta wazazi wameuza vitu vingi kukusomesha wewe iweje uwasahau