Jenerali Ulimwengu ashauri Makonda ashitakiwe kwa kuvamia kituo cha Clouds

Jenerali Ulimwengu ashauri Makonda ashitakiwe kwa kuvamia kituo cha Clouds

Neno "KUVAMIA" linatumika ili kuongezea uzito hoja, lakini linatumika vibaya.

Pia haya maoni kayatoa au alihojiwa kabla ya mh rais kutoa msimamo wake.
 
kuna makosa mengi. zipo forgery under s.333,335 and 337 Penal code, pia section 100 of the penal code juu ya personation. anajifanya paul makonda kumbe ni Daudi Albert Bashite.
 
Kuwa RC anapiga kazi vizuri na zaidi ni hadi miaka 10 kisha baada ya hapo anapata cheo kikubwa
Sawa mpeni vyeo tu, lakini akijaribu gombea sehemu tutammulika matokeo yake kwa spotlight!..
[HASHTAG]#2020[/HASHTAG]
 
Hili la kuvamia kituo cha clouds fursa adimu ya Rais kumtumbua Makonda( face saving/damage control measure ) Duh lost opportunity.
 
My friend Jenerali ........Hawa jamaa sio waelewa wasije kukutengenezea kipindi buree.
 
Makonda ni mtu mzuri na mchapakazi, sema tu kuna wanaoshindwa kutofautisha kama ndio yule daudi Bashite wa Pamba secondary. Akiweza kutuondolea huo utata ni wazi atafika mbali na anaweza kuwa hata rais siku zijazo.
 
Nadhani Clouds zaidi ya kutafuta sympathy za watu, hawana guts wala nia ya kumshtaki Makonda pamoja na makosa ya wazi.
 
Kiukweli kabisa tulipofikia hata tupaze saitu mpaka midomo itupasuke haitosaidia chochote kwa kuwa Mkulu kaonesha hakuna wakumtishaa watafanya watakalo yeye na Makonda
 
Ulimwengu, Mimi namuona kama mchochezi na anataka kuleta attention ya wazungu maana anajipendekeza.

Hadi pale, Mr. Ulimwengu hana cha kupoteza na siyo mzawa.

Asituletee bala za asili ya nchi zake kuleee.
 
Kiukweli kabisa tulipofikia hata tupaze saitu mpaka midomo itupasuke haitosaidia chochote kwa kuwa Mkulu kaonesha hakuna wakumtishaa watafanya watakalo yeye na Makonda
[emoji106] Vyombo vyote kajaza Wasukuma, nani aseme (mkabila haswa)!
 
Back
Top Bottom