Achana na maneno ya kulishwa, kama siyo RAIA kwa nini walimuacha? Mbona hata huyo nanihi swahiba namba one inasemwasemwa ni mnyarwanda?Huyo mkimbizi hanaga jema
Na bunge pia wanahitajika kutoa msimamo wao ikiwa ni pamoja na vyombo vya habari kutoandika habar yoyote ya serikari~~~>>>Haya anatakiwa akutane na nguvu ya Umma tu.... Kila akiitisha mikutano yake tunamzomea..
Manenl ya wakosaji hayo. Avheni nchi iendemungu wa tz .....lakin Mungu mwenyewe wa kweli ataamua wacha mungu wa ajabu ajabu wasumbue kwa wakati wao
".....WATU WENGINE HUWA WANAFIKIRIA KWA KUTUMIA MAKALIO....." - Mh. Dr. Didas Masaburi (R.I.P.) - DSM, 2012.Hahaha povu limewatoka kelele mepiga nyingi wivu unataka kuwauwa lakini Makonda anachapa Kazi
Ni kweli Mkuu,,,,wameanza kujitekenya halafu wanacheka wenyewe.....Eti Ni rafiki yetu toka akiwa DC kinondoni[emoji40] [emoji40] [emoji40]Vyovyote vile, hiyo ndiyo option iliyobaki.
Kwa kuwa mteuzi wake ameshaamua kuwa hawezi kumfanya chochote hata kama akiiba mchana kweupe kwa kutumia silaha, lililobaki ni hilo tu.
Ila sina hakika kama hao waliokosewa (Clouds Media) wana nia hiyo maana sasa hivi wanambembeleza aende akaombe tena urafiki nao.
Muda si mrefu wataenda wao kuomba radhi kwa usumbufu waliomsababishia na kisha kuomba aendelee kuwa rafiki yao.
INAWEZEKANAJE JAMBO OVU NAMNA HIYO RAIS ANAONA KAWAIDA TU???????????????Ndio tutaenda uchumi wa Viwanda?
Tuna viwanda vya kuponda majiko na koroboi makalai ya chips nkKumbe uchumi wa viwanda ni Makonda !