elfusifuri
Senior Member
- Jul 25, 2018
- 165
- 187
Mkuu, JKT ina wenyewe.Hujafika jela wewe, naona unaiita utaipata tu hiyo jela . Kama unataka ukamanda si uende jkt dirisha la kujitolea.
Inaonekana magwanda ya jeshi la akiba pekee hayatoshi, japo naogopa jela.
Nampa heko kutimiza sifa ya ukamanda, ila afiche sababu iliyompeleka jela