kiben10
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 615
- 792
Assallam aleykum,,,,,,
Napenda kuwapa taarifa za JELA ambazo mimi nimepitia toka tulipoachana katika viwanja hivi toka mwaka jana mwezi wa 9 hivi kama sijakosea.
Ila nimetoka Jela siku ya Alhamisi pale Segerea, ila kwa tuliopitia katika Gereza lile basi wataja kuwa mashahidi kila siku nitakapojaliwa kutoa baadhi ya mambo ambayo nimekutana nayo au wewe mwenzangu ambaye umepitia pale kwa KUFUNGWA.
1. Sasa nitakuwa naenda Clinic ya ARTs daily kwani nimepata kuambukizwa UKIMWI tayari ila Mungu yupo nami atazidi kunilinda tu
2. KESI nilisokomezewa Gerezani ni ya Kumla BEKI3 na nikakutwa na mwenye nyumba na kubambikiziwa KESI ya Ubakaji.
3. Jela miezi 6 nimekaa[emoji24][emoji24][emoji24]
Nitaendelea kesho....