Jela sio pazuri vijana wenzangu

Jela sio pazuri vijana wenzangu

Huo ukimwi uliupata huko jela kwa njia gani..
Assallam aleykum,,,,,,

Napenda kuwapa taarifa za JELA ambazo mimi nimepitia toka tulipoachana katika viwanja hivi toka mwaka jana mwezi wa 9 hivi kama sijakosea.

Ila nimetoka Jela siku ya Alhamisi pale Segerea, ila kwa tuliopitia katika Gereza lile basi wataja kuwa mashahidi kila siku nitakapojaliwa kutoa baadhi ya mambo ambayo nimekutana nayo au wewe mwenzangu ambaye umepitia pale kwa KUFUNGWA.

1. Sasa nitakuwa naenda Clinic ya ARTs daily kwani nimepata kuambukizwa UKIMWI tayari ila Mungu yupo nami atazidi kunilinda tu

2. KESI nilisokomezewa Gerezani ni ya Kumla BEKI3 na nikakutwa na mwenye nyumba na kubambikiziwa KESI ya Ubakaji.

3. Jela miezi 6 nimekaa[emoji24][emoji24][emoji24]

Nitaendelea kesho....
 
Yaani unaandika kama wanakukimbiza wakurejeshe Segedansi?
 
Kesho ukiendelea naomba uni tag basi
 
Back
Top Bottom