Jei Efu Bana..

SL !
Ntakerazi mie Alhaji ujue ?
Afu mie kama shem wako , hujui kama nikuupiga juu ya meza unazurika ?
Haya ntakerazi kabla sijakusasambulia!
Ohooo!
Ntamwaga ? Usinifanye nikasaula ! In front of ze pipo .

Oooooh !!!! Samahani shemeji kipenzi ulimi umeteleza sirudii tena shem !Usisaule tafadhali !
 
ndo uwaaambie kunani sweetlady?

Hapa kunani !
Hapa Platozoom ndiyo kuna waliokua wakijaribu kumtilia ndimu mitandao yake!
Btw kijana katoa nje mishuti hatarishi iliyokua ikielekezwa kwake !
Kajitahidi ukizingatia mishuti mpira Jabulani !
 
Last edited by a moderator:
Oooooh !!!! Samahani shemeji kipenzi ulimi umeteleza sirudii tena shem !Usisaule tafadhali !

Ilibakia tumba tu! Avatar yangu kama unavyoiona kusaula already!
Pale ni kugeuka tu!
Semea tu kule mbele yangu kuna mtu ambae ye hadhurigaki coz she's owner ! Ndo alinikawizisha .
 
P hajalogwa bwana, aliyelogwa ni asp tena kalogwa vibaya na wa kumlogololowa naye kalogwa.af E leo mbona unaonekana na kama chale chale hivi hapo usoni umepigwa lini hizo chata wng.usipinge hii kitu wt wote wanakushangaa leo, go moja kwa moja kwa ans
Bibie ummu kulthum umeniita nikuitike?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom