Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,321
- 10,077
The secretary,uko wapi baby,yaani dadii nasimangwa we upo kimya tu?
Last edited by a moderator:
baby,chagua mwenyewe hili busu litue sehemu gani ya ngozi yako nyororo.....mmmmmmmwwaaaaaaaaa!!!!!nipo baby mi niliwaona nikawapotezea wanaonesha ni namna gani wanavyokupenda bila kukutaja hawali nawarembo wao bishanga tumekuzimia lakini unawapotezea.
nasubiri amalizie mgomo wa walimu maana nasikia ye ndo kinara,baada ya hapo atajua bishanga ni nani.Na huyu TANMO msamehe akikua ataacha
abeeeeeeee! rabekha!Kama ummu kulthum hujaniona vizuri angalia na hii ya mzee b52 original sio huyo unayemuona
View attachment 60336
Then muite na cacico aje akwambie kama hujakosea hayo mawazo yako
Mmmmmmmmh haya mahabuba, acha nipite mie.....
Hivi mahabuba kesharudi ? Nilisikia kasafiri !
...nakumbuka zamani humu tulikuwa tunaitana Mkuu, bila kujali Umri wala jinsia.. Siku hizi watu wamebadilishana majina wanaitana Hane, Babu, Switi Hati, Laazizi, asali wa moyo n.k. Hii inatufanya mabachela tujisikie wapweke (au mkiita basi mtuite wote. Yes! haki sawa kwa wote).
... nakumbuka zamani watu walikuwa hawatongozani hovyo. Ila siku hizi siyo ajabu tena kukuta watu wanapigana denda hadharani kwenye masredi,, huko tuendako usishangae unafungua sredi unakuta watu wakifanya ngono humo.
...halafu sasa, zamani Bana vidume ndiyo tulikuwa tunarusha ndoano kwa mabinti humu JeiEfu, lakini siku hizi unashangaa Binti anakutongoza wewe tena macho makavu. Wengine hii mambo tunaogopa Bana, raha ya mchuchu uhangaike naye siyo yeye ndiyo ahangaike na wewe (wewe nanihii, ukinisumbua tena nakuanzishia sredi!!!!)
... nakumbuka watu walikuwa hawajisifu humu, wanasubiri wasifiwe, lakini siku hizi mtu hata akijamba basi atakuja kujisifu jinsi alivyoacha mtafaruku kwenye daladala baada ya kuachia kijambo cha kisailensa eti!!
...nakumbuka zamani watu walikuwa hawalewi hovyo humu JeiEfu, lakini siku hizi unaweza kufungua thread ukakutana na harufu kali sana ya Kangara, Mbege, Chang'aa, Kimpumu, Mnazi, nakazalika (wahusika mnajijua, hasa wewe babu sijui nani).. Kwa kuongezea siku hizi kuna kibabu kinajifanya kinafanya ukaguzi wa vibinti vya watu (ndiyo, wewe hapo unajijua!).
... nakumbuka zamani tulikuwa hatugombanii michuchu humu, lakini siku hizi hata ukimsalimia tu mchuchu wa mtu basi unaanzishiwa sredi huku ukisakamwa kama vile umeiba hela..
... Zamani Bana wanaume tulikuwa siyo wambeya, lakini siku hizi tuna wanaume (mwanaume?) wambeya (mbeya?) humu mpaka wanasutwa (I hopu ze meseji delivadi)
....nakumbuka,,,,, aaagh TANESSSSSSSSSSSSSSSKOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO!!!!!!
Ngoja niwashe kibatari, narudi.
Asante ndugu, nipo sema tu majukumu yamebana kidogo ndugu!