Jei Efu Bana.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jei Efu Bana..

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by TANMO, Jul 30, 2012.

 1. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #1
  Jul 30, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  ...nakumbuka zamani humu tulikuwa tunaitana Mkuu, bila kujali Umri wala jinsia.. Siku hizi watu wamebadilishana majina wanaitana Hane, Babu, Switi Hati, Laazizi, asali wa moyo n.k. Hii inatufanya mabachela tujisikie wapweke (au mkiita basi mtuite wote. Yes! haki sawa kwa wote).

  ... nakumbuka zamani watu walikuwa hawatongozani hovyo. Ila siku hizi siyo ajabu tena kukuta watu wanapigana denda hadharani kwenye masredi,, huko tuendako usishangae unafungua sredi unakuta watu wakifanya ngono humo.

  ...halafu sasa, zamani Bana vidume ndiyo tulikuwa tunarusha ndoano kwa mabinti humu JeiEfu, lakini siku hizi unashangaa Binti anakutongoza wewe tena macho makavu. Wengine hii mambo tunaogopa Bana, raha ya mchuchu uhangaike naye siyo yeye ndiyo ahangaike na wewe (wewe nanihii, ukinisumbua tena nakuanzishia sredi!!!!)

  ... nakumbuka watu walikuwa hawajisifu humu, wanasubiri wasifiwe, lakini siku hizi mtu hata akijamba basi atakuja kujisifu jinsi alivyoacha mtafaruku kwenye daladala baada ya kuachia kijambo cha kisailensa eti!!

  ...nakumbuka zamani watu walikuwa hawalewi hovyo humu JeiEfu, lakini siku hizi unaweza kufungua thread ukakutana na harufu kali sana ya Kangara, Mbege, Chang'aa, Kimpumu, Mnazi, nakazalika (wahusika mnajijua, hasa wewe babu sijui nani).. Kwa kuongezea siku hizi kuna kibabu kinajifanya kinafanya ukaguzi wa vibinti vya watu (ndiyo, wewe hapo unajijua!).

  ... nakumbuka zamani tulikuwa hatugombanii michuchu humu, lakini siku hizi hata ukimsalimia tu mchuchu wa mtu basi unaanzishiwa sredi huku ukisakamwa kama vile umeiba hela..

  ... Zamani Bana wanaume tulikuwa siyo wambeya, lakini siku hizi tuna wanaume (mwanaume?) wambeya (mbeya?) humu mpaka wanasutwa (I hopu ze meseji delivadi)

  ....nakumbuka,,,,, aaagh TANESSSSSSSSSSSSSSSKOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO!!!!!!

  Ngoja niwashe kibatari, narudi.
   
 2. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #2
  Jul 30, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Mh naona unatafuta ugomvi na Bishanga Tanmo
  Mi simo!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Jul 30, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,417
  Trophy Points: 280
  Zamani ya lini hiyo?
   
 4. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #4
  Jul 30, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Aaaaaaaaaa, Aisee huo msala ni wa kwako huo Mkuu.. Mimi sijamtaja mtu hapa.
  Na vile Bishanga anadai ana hela ni lazima akodishe wakili kutoka Nyu Yoku..
   
 5. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #5
  Jul 30, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Zamani ya zama za kale.
   
 6. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #6
  Jul 30, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Hahahahahahahhahahhahahahahahha
   
 7. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #7
  Jul 30, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,417
  Trophy Points: 280
  Bishanga ni bilionea lakini hana akili.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #8
  Jul 30, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Labda ndo maana anajiweka karibu na wenye akili, anatumia akili zao in exchange na pesa zake..
   
 9. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #9
  Jul 30, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,261
  Trophy Points: 280
  Afu ww TANMO, umekuwa mgomvi! Kuhamia magomeni ishakuwa nongwa? Na ukikataliwa na msichana mmoja ndo unakata tamaa? Kuvunjika kwa koleo....
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #10
  Jul 30, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,261
  Trophy Points: 280
  Afu ww TANMO, umekuwa mgomvi! Kuhamia magomeni ishakuwa nongwa? Na ukikataliwa na msichana mmoja ndo unakata tamaa? Kuvunjika kwa koleo....
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #11
  Jul 30, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  yalaah mbavu zangu sa kwani kipindi kile kilikua ni transition period so sahiz mambo mulemuleeeeeee
   
 12. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #12
  Jul 30, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145

  Khaaaa aisee......kumbe ndio mana eeh!
   
 13. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #13
  Jul 30, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hahahaaaa hivi Nyani Ngabu siulisema ushamsamehe na yameisha?
  Mbona hivyo tena aisee?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #14
  Jul 30, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  sweetlady Huyoooooooooooooooooooooo
  Mwaaaaaaaaaah
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #15
  Jul 30, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Kausha Bana,,, mbona unanimaind wakati mwenyewe unona kabisa sijagusia ishu ya Msuba kwa sababu nakufichia soo?
   
 16. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #16
  Jul 30, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  We ndio umemtaja ......kwani huo mwandiko wa nani?
   
 17. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #17
  Jul 30, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Muone vile,, yaani ndiyo mnaanza kupigana mabusu kwenye sredi yangu?
   
 18. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #18
  Jul 30, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Khaaaaa lol.....umenishtua kidogo nimwage uji !

  Mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa !
   
 19. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #19
  Jul 30, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Kwa majina mimi sijamtaja,, wala sihusiki..
  Hiki kikombe kimenipitia mbali kwa kweli....
   
 20. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #20
  Jul 30, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145

  Au hajasoma sredi inasemaje ?.....jf ya zamzni irudi lol....hakuna mabusu wala kuitana hani hapa !
   
Loading...