Jei Efu Bana..

P hajalogwa bwana, aliyelogwa ni asp tena kalogwa vibaya na wa kumlogololowa naye kalogwa.af E leo mbona unaonekana na kama chale chale hivi hapo usoni umepigwa lini hizo chata wng.usipinge hii kitu wt wote wanakushangaa leo, go moja kwa moja kwa ans
Niko fiti mrembo.....unaniangalia kwa wasiwasi eeeeh?
Hebu niangalie hapo chini....
b52.jpg
 
Hahahaaaaa kale kazee noma..kaliiba uchawi wa Asprin then kakamroga Asprin apende Ile kitu namesa mwenzake kuliko kula ndio maana siku hizi babu anaweza kukagua siku nzima bila kula hadi anashindwa kuamka!
Ila platozoom nae naona anakuja kwa kasi sijui nayeye kalogwa

Unamsikiliza huyo dogo TANMO sura kama kopo la komoni
 
Last edited by a moderator:
Hivi kumbe ile mimba ya Yummy huyu Bwana Rocky naye alichangia damu?
Hivi kumbe Kipipi na Catherine nao pia ni nyumba ndogo zako?
Amyner anawatambua hawa ma wife mates wake?
Huyu Platozoom uliyemtaja kwani amechatoka rumande baada ya kukutwa na kiroba cha Msuba?
Hivi kwa huyu Badili Tabia tupo wangapi jamani?
Babu Asprin alishinda ile kesi yake ya kumshika makalio mama muuza wa mtaani kwao?

Platozoom the man himself
 
Tatizo lako we TANMO umekuwa ka pimbi aliyegawa mikia yote akasahau kujibakizia,yaani katika wambeya wa jf umesahau kujioridhesha pamoja na mpaka kuanzisha kiu/ijumaa ya jf?
Ama kweli nyani haoni kundule!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom