Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 7,035
- 13,680
Huu Uzi hatari unafufua wafu!!! Kiranga, waaambie wanirudishie rambirambi zanguKwema Mzee baba. Shuta shuta mwendo wa ngiri, hakuna kulala, ukipepesa kidogo wanakomba mboga na vyombo wanakuachia uoshe.
Si unaona vijana wanavyopigika za ugoko huko?