JEETU agonga mwamba! ktk EPA na Bank M

Hizi bank zinatisha Mkuu. Naona tutarudi mwaka 47 kuweka vijisenti kwenye mitungi. Watu washaliwa hapo wanalia kilio cha mbwa mdomo juu.

Mkuu kwa hiyo wateja wenye salio mule sahv wanasaga meno!
Ila shareholders wote walipoona mambo ynakwenda sivyo walitoa mpunga wao kwa style ya kujikopesha?

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom