Yawezekana ili kuweza kuelewa nguvu za RA ni lazima tuchore jedwali moja.......
a. Wale aliowafadhili na kuwasaidia kushika au kudumisha nafasi za kisiasa.
MATOKEO:
1. Jakaya M. Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
2.Benno Malisa - (a) - Makamu Mwenyekiti- TAIFA, UVCCM
3.Sofia Simba - (a) - Mwenyekiti Taifa- UWT(CCM)
4. Prof. Juma Kapuya - Waziri wa Kazi & Maendeleo ya Vijana (Mbunge Urambo Magharibi)
5. Adam Malima - (a) - Naibu Waziri, NISHATI NA MADINI (Mbunge, Mkuranga)
b. Wale ambao wamewahi kuwa watumishi wake kwenye Vodacom.
MATOKEO:
1.Pius Msekwa - Vodacom B. - Makamu wa Mwenyekiti CCM (Bara)
2. William Ngeleja - Vodacom - Waziri wa Nishati na Madini
c. Wale ambao wametumika kwenye vyombo vyake vya habari
d. Wale wenye ushirikiano wa kibiashara.
Jina (Salva Rweyemamu);
kundi lake (c)
na nafasi yake ya sasa (Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais).
. Yawezekana kuna kitu ambacho tumekimiss kwa muda mrefu juu ya RA na nadharia niliyonayo yaweza kuthibitika kisayansi juu ya "asili ya nguvu yake".
Kama huna lolote unalojua; sit down and enjoy!
2. Kapuya - A. (alisaidia kumfunga Rage, asigombee ubunge jimbo la jirani yake Kapuya & Patners kwenye migodi).
FMES!
Uhusiano wake ni na manji..ameshakaa kwenye board ya nssf huyu..FMES Mkuu heshima mbele..mbona huyo Prof namuona ni mtu poa tuu? Nilitokea kumjua wakati nasoma pale UDSM weakness yake kubwa ilikua ni kupenda uongozi na alijaribu sana kuingia katika uongozi pale UDSM ila aliishia ukuu wa idara tuu. Ila kwa uhakika ninajua anapenda madaraka, no question about that. Ila sina uhakika na uhusiano wake na RA, je waweza kufafanua ama ni tetesi tuu?
Naomba kuwakilisha..
Mengi je?
Mbowe na CHADEMA je wako wapi?
Uhusiano wake ni na manji..ameshakaa kwenye board ya nssf huyu..
1+1=2
RA=KAGODA ,KAGODA=MANJI'S FATHER, MANJI= QUALITY GROUP, QUALITY GODOWNS=NSSF=KAPUYA.
Yani u dont have to be a genius in this game!!
Hivi, wakuu nataka kujua moja.. najua JK hana ubavu pamoja na joho alovaa..Je, nani kati ya Chande na RA mwenye nguvu zaidi ya mwenzake.. Who is Don Coleone!
Hivi, wakuu nataka kujua moja.. najua JK hana ubavu pamoja na joho alovaa..Je, nani kati ya Chande na RA mwenye nguvu zaidi ya mwenzake.. Who is Don Coleone!
hahahah Mkandara.. hili jedwali we ngoja.. kuna watu wengine wawili tutawachorea majedwali yao.. kuna kitu fulani hivi ambacho kinashangaza sana..
Uhusiano wake ni na manji..ameshakaa kwenye board ya nssf huyu..
1+1=2
RA=KAGODA ,KAGODA=MANJI'S FATHER, MANJI= QUALITY GROUP, QUALITY GODOWNS=NSSF=KAPUYA.
Yani u dont have to be a genius in this game!!
Hivi kweli CHADEMA na FREEMAN MBOWE hawamo kwenye huu mtandao wa ROSTAM au wamesahaulika?
- Mkulu wangu Mwanakijiji, kumkoma nyani haiwezi ku-get better than this jedwali, thanks Mengi kwa kuanza na sisi wananchi sasa ni kuwafunua tu mafisadi,
- Ndio maana nilisema waliomtuma Makamba kulilia kichwa cha Mengi huko CC, hawakuwa wajinga, kumbe karibu wote huko CC wako kwenye payroll!
Mpaka kieleweke!
Kwenye list hebu waongezeni Tido Mhando na Prof. Mukandala wapiga polls za RA wakati wa kampeni za urais wa 2005, kwa kushirikiana na Kingunge, hawa wako kundi C.
FMES!
let me make it easy 4 ur guys/sis, kapuya kwa kutumia position yake ya waziri wa kazi at that time etc, alimpendkeza Mkurugenzi wa sasa wa NSSF toka Bandari, na Humba wa NHIF, ambaye alitegemea kupanda toka Deputy DG wa NSSF akawa bypassed. NSSF ya Dau ndio ikampa deal Manji la Mkopo wa kujenga hayo majengo yake ambayo alikuja wauzia NSSF over 100% or more ya Bei aliojengea,Sasa cha zaidi ni kuangalia Board Members waliopitishwa au recommended na Kapuya Wakati wake.amekaa kwenye board ya NSSF lini na kama nani? hebu fafanua hii
let me make it easy 4 ur guys/sis, kapuya kwa kutumia position yake ya waziri wa kazi at that time etc, alimpendkeza Mkurugenzi wa sasa wa NSSF toka Bandari, na Humba wa NHIF, ambaye alitegemea kupanda toka Deputy DG wa NSSF akawa bypassed. NSSF ya Dau ndio ikampa deal Manji la Mkopo wa kujenga hayo majengo yake ambayo alikuja wauzia NSSF over 100% or more ya Bei aliojengea,Sasa cha zaidi ni kuangalia Board Members waliopitishwa au recommended na Kapuya Wakati wake.
Hadithi Yenyewe ndio Hiyo