Je Tanzania tunajifunza nini kwenye mgogoro wa nchi za Afrika Magharibi?

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
21,254
34,205
Tukiwa tunaendelea na sakata la bandari..

Najaribu kuwaza,

Nchi za afrika magharibi hasa Mali, Bukina Faso na Niger zinavitu viwili vinavyo fanana (in common).

1. Viongozi wake wamepinduliwa kijeshi na jeshi kuchukua uongozi.

2. Nchi zote hizo 3 baada ya mapinduzi zimewafukuza wafaransa na kupiga ban au kukataza madini yao yasitolewe nchini mwao kwenye nchi za magharibi hasa Ufaransa.

Inshort nchi hizi zinafukuza wanyonyaji ambao zinaamini wanaiba utajiri wao.

Je kama Watanzania tuna lipi tunajifunza hapa?

====
Mimi nlichojifunza ...hii mikataba ya hovyo tunayoingia leo miaka ijayo watoto zetu watakuja kupindua nchi ili kuwafukuza wanyonyaji ambao sisi tumewapokea na tunaendelea kuhakikisha hata sheria tunazibadilisha ili kuwapokea.
 
Sisi bado tunapigia chapuo mkataba mbovu wa Bandari! Watawala waambiwa ila hawataki kusikia na kuona namna ya kuanza mchakato tena kwa njia zilizo sahihi wasije kuingiza taifa kwenye hasara ambayo ingeweza kuepukika
 
Daaah inauma sana
 
Najaribu kuwaza,

Nchi za afrika magharibi hasa Mali, Bukina Faso na Niger zinavitu viwili vinavyo fanana (in common).

1. Viongozi wake wamepinduliwa kijeshi na jeshi kuchukua uongozi.

2. Nchi zote hizo 3 baada ya mapinduzi zimewafukuza wafaransa na kupiga ban au kukataza madini yao yasitolewe nchini mwao kwenye nchi za magharibi hasa Ufaransa.

Je kama Watanzania, tukiwa tunaendelea kupambana kutoa bandari yetu kwa hali na mali, tuna lipi tunajifunza hapa?
Umeanza kufuatilia siasa za Afrika lini?

Kwani hii ni mara ya kwanza kutokea mapinduzi nchi za Afrika Magharibi?

Tangu hayo mapinduzi yameanza kutokea miaka ya 1960 na 70 wana kipi cha maana wamefanya au kufanikiwa hadi tujifunze kwao?

Nyie watoto wajinga ndo mnaharibu hadhi ya JF kama Home of Great Thinkers
 
Kwenye hili jibu lako sijaona sehemu umesema "umejifunza nini" zaidi ya kuongea hisia zako kama mtoto wa kike.
 
Kuna mdau humu jf alisema kwamba kwa nchi zilizo kwenye commonwealth possibility ya kutokea kwa hizo mambo za huko west africa ni mdogo sana. Sijajua almaanisha nini.
 
Tukiwa tunaendelea na sakata la bandari..

Najaribu kuwaza,

Nchi za afrika magharibi hasa Mali, Bukina Faso na Niger zinavitu viwili vinavyo fanana (in common).

1. Viongozi wake wamepinduliwa kijeshi na jeshi kuchukua uongozi.

2. Nchi zote hizo 3 baada ya mapinduzi zimewafukuza wafaransa na kupiga ban au kukataza madini yao yasitolewe nchini mwao kwenye nchi za magharibi hasa Ufaransa.

Inshort nchi hizi zinafukuza wanyonyaji ambao zinaamini wanaiba utajiri wao.

Je kama Watanzania tuna lipi tunajifunza hapa?
Nepotism kwa sana huko, sisi hilo tatizo haliwezi kamwe kutokea. Rais wetu anapendwa 💯
 
Tukiwa tunaendelea na sakata la bandari..

Najaribu kuwaza,

Nchi za afrika magharibi hasa Mali, Bukina Faso na Niger zinavitu viwili vinavyo fanana (in common).

1. Viongozi wake wamepinduliwa kijeshi na jeshi kuchukua uongozi.

2. Nchi zote hizo 3 baada ya mapinduzi zimewafukuza wafaransa na kupiga ban au kukataza madini yao yasitolewe nchini mwao kwenye nchi za magharibi hasa Ufaransa.

Inshort nchi hizi zinafukuza wanyonyaji ambao zinaamini wanaiba utajiri wao.

Je kama Watanzania tuna lipi tunajifunza hapa?
Tunajifunza kuwa Tanzania ni nchi ya amani tofauti kabisa na hizo west, kisha Tanzania haihitaji mapinduzi ya kijeshi Bali ya kifikra Ili watanzania watambue kuwa sisi hatufanani na mataifa mengi ya Africa kwakua Kila mtanzania akijitahidi kufanya kazi Kwa bidii ama kutaka nafasi yeyote katika jamii inawezekana kwakua Baba wa Taifa hakuwa mbinafsi kama ambavyo sisi wa siku hizi tulivyo. Alituaichia Taifa lenye misingi Bora kabisa Africa, hakuna mfano wake isipokuwa tu aliturithisha Katiba mbaya.

Na somo kubwa ni kuwa watanzania wachache wanataka kuifanya nchi yetu ianze kuwa na tabia za ajabu ajabu na hapa naomba niwe muwazi na mkweli.

Watanzania hao waharibifu wapo katika vyama vyote vya siasa ikiwemo CCM, WAPO KATIKA DINI ZOTE KUU ya ISLAM NA CHRISTIANS, bila kuwasahau ambao ni wapagani. Tena watanzania hao wachache wapo katika makundi yote ya jamii yenye elimu na isiyo na elimu rasmi, mbaya zaidi watanzania hao wapo kwenye madaraja yote ya uchumi maskini na matajiri.

Yaani binadamu hao wachache wanataka kusababisha mtifuano usio wa lazima Kila mtu akiwa na lake la binafsi huku wakijidai wanaipigania jamii ya watanzania.

Mfano, vyama vya upunzani vinataka kupata madaraka, lakini ndugu hao Kwa muda tofauti wameonyesha tabia za ki udalali zaidi kuliko kupigania Tanzania. Wenye madaraka Kwa muda tofauti wameonyesha kukumbatia mambo ambayo wala hayawasaidii watanzania Bali makundi Yao binafsi huku wakitumiwa kisingizio cha wao ndiyo wanaounda serikali, wenye dini nao wanataka kuwaingiza waumini wasio na hatia kupeleka agenda zao ambazo hazina uhusiano hata na muumba wetu ambaye mbele zake haoni Kuna shida gani binadamu akimwabudu anavyoona inafaa na kisha masikini wengine wametumia mwanya wa connections zao kudhani watamaliza umasikini wao kwakujipendekeza Kwa wenye maamuzi, mwisho ni wenye Mali wao wapo busy kuhakikisha biashara zao na Mali zao zinaongezeka na zipo salama bila kujali welfare ya watu katika jamii ambayo kama wangekuwa waungwana wangesaidia katika kuinua maisha ya walio wengi. Kisha wasomi wamebaki kuvizia teuzi na kushindwa kusimamia profession na kutumia ujuzi wao Ili taifa liweze kuendelea

So utaona kama taifa tumekengeuka na huo ukengeukaji unasababishwa na watu wachache ambao wamejitengeneza na kuwa kundi ambalo bila kuwa makini linatoboa boti ambalo nao wamo wakidhani wanajisaidia kumbe ni kujilisha upepo
 
Mashtaka yalikuwa yanasubiri Magufuli afe ?
Hivi huwa mnadhani watu wote ni wapuuzi?
Hii ndiyo Ile unajiibia mwenyewe kisha unapiga ukunga nimeibiwa, kumbe unatafuta sympathy, ku justify vices zako
 
Wote tumeona video za Hukumu.....
Wamefanya kusudi kushindwa kesi ( huwezi ukaniambia yule ni prof anajiuma uma vile).
Na inawezekana ni wao ndio wamewaambia mabeberu wafungue kesi wapige Mpunga.
 
Nyie watoto wajinga ndo mnaharibu hadhi ya JF kama Home of Great Thinkers
Kama umeona ni watoto hawajui bas wape elimu kwa ww mwerevu!! NB; JF haipo kwaajil ya ku praise and worship!! U should accept otha body's opinions, kama wewe unavyolazimisha humu wanaojielewa wakubaliane naww kuhusu mkataba wenyew makandokando wa DP world!!
 
Tunajifunza kuwa Tanzania ni nchi ya amani tofauti kabisa na hizo west, kisha Tanzania haihitaji mapinduzi ya kijeshi Bali ya kifikra Ili watanzania watambue kuwa sisi hatufanani na mataifa mengi ya Africa kwakua Kila mtanzania akijitahidi kufanya kazi Kwa bidii ama kutaka nafasi yeyote katika jamii inawezekana kwakua Baba wa Taifa hakuwa mbinafsi kama ambavyo sisi wa siku hizi tulivyo. Alituaichia Taifa lenye misingi Bora kabisa Africa, hakuna mfano wake isipokuwa tu aliturithisha Katiba mbaya.

Na somo kubwa ni kuwa watanzania wachache wanataka kuifanya nchi yetu ianze kuwa na tabia za ajabu ajabu na hapa naomba niwe muwazi na mkweli.

Watanzania hao waharibifu wapo katika vyama vyote vya siasa ikiwemo CCM, WAPO KATIKA DINI ZOTE KUU ya ISLAM NA CHRISTIANS, bila kuwasahau ambao ni wapagani. Tena watanzania hao wachache wapo katika makundi yote ya jamii yenye elimu na isiyo na elimu rasmi, mbaya zaidi watanzania hao wapo kwenye madaraja yote ya uchumi maskini na matajiri.

Yaani binadamu hao wachache wanataka kusababisha mtifuano usio wa lazima Kila mtu akiwa na lake la binafsi huku wakijidai wanaipigania jamii ya watanzania.

Mfano, vyama vya upunzani vinataka kupata madaraka, lakini ndugu hao Kwa muda tofauti wameonyesha tabia za ki udalali zaidi kuliko kupigania Tanzania. Wenye madaraka Kwa muda tofauti wameonyesha kukumbatia mambo ambayo wala hayawasaidii watanzania Bali makundi Yao binafsi huku wakitumiwa kisingizio cha wao ndiyo wanaounda serikali, wenye dini nao wanataka kuwaingiza waumini wasio na hatia kupeleka agenda zao ambazo hazina uhusiano hata na muumba wetu ambaye mbele zake haoni Kuna shida gani binadamu akimwabudu anavyoona inafaa na kisha masikini wengine wametumia mwanya wa connections zao kudhani watamaliza umasikini wao kwakujipendekeza Kwa wenye maamuzi, mwisho ni wenye Mali wao wapo busy kuhakikisha biashara zao na Mali zao zinaongezeka na zipo salama bila kujali welfare ya watu katika jamii ambayo kama wangekuwa waungwana wangesaidia katika kuinua maisha ya walio wengi. Kisha wasomi wamebaki kuvizia teuzi na kushindwa kusimamia profession na kutumia ujuzi wao Ili taifa liweze kuendelea

So utaona kama taifa tumekengeuka na huo ukengeukaji unasababishwa na watu wachache ambao wamejitengeneza na kuwa kundi ambalo bila kuwa makini linatoboa boti ambalo nao wamo wakidhani wanajisaidia kumbe ni kujilisha upepo
Mimi nlichojifunza hii mikataba ya hovyo tunayoingia leo miaka ijayo watoto zetu watakuja kupindua nchi ili kuwafukuza wanyonyaji ambao sisi tumewapokea na tunaendelea kuwapokea.
 
Kama umeona ni watoto hawajui bas wape elimu kwa ww mwerevu!! NB; JF haipo kwaajil ya ku praise and worship!! U should accept otha body's opinions, kama wewe unavyolazimisha humu wanaojielewa wakubaliane naww kuhusu mkataba wenyew makandokando wa DP world!!
Huyo hatakuelewa.
 
Back
Top Bottom