nameless girl
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 4,195
- 2,685
Je, yupo mwanamke mwaminifu?
wapo mbona
Je, yupo mwanamke mwaminifu?
wapo mbona
Wako wapi?
Wapo humu humu tu mjini wametulia tu.
Oh basi hata wanaume wapo humu humu mjini wametulia tu.
acha kucopy jibu langu, unapiga chabo hadi Jf, wanaume hakuna hata mmoja.
Thibitisha kuwa hakuna hata mmoja. Ukishindwa kuthibitisha utakuwa mzushi.
achana na izo mambo za sheria nyani, ntathibitisha mahakamani kama itanilazimu, but you know its true, right?
Oh jamani. As innocent as I am? :disapointed::disapointed😛oaaaaaa.Teh teh teh....
Any sucker who'd believe that I've got a bridge to sell them.
And it's the Brooklyn bridge, by the way.
I don't know if it's true or not and I don't think it is true at all.
So you prove to me that it is actually true.
Oh jamani. As innocent as I am? :disapointed::disapointed😛oaaaaaa.
l wil prove it to you one day utakapokua ready, ila unapaswa unipe masaa yako matano tu.
acha kucopy jibu langu, unapiga chabo hadi Jf, wanaume hakuna hata mmoja.
Oh wow...that sounds like a plan. Awesome.
Nipo mimi. Hahaha
tena weye, acha kabisa.