Je yupo mwanaume mwaminifu?

Je yupo mwanaume mwaminifu?

Binafsi Mimi sio mwanaume Mwaminifu. Haina haja ya unafki
 
Kukiri maneno uumba uhalisia, kama unakiri kabisa hakuna mme asiyecheat ndiyo hivyo hivyo itakutokea, hata kama hajaanza ndio ataanza sasa maana umeshakiri.
 
Je yupo mwanaume ambaye hajawahi kumsaliti mpenzi/mkewe,nikianzia hapa jamvini maana kila mahali vilio vya wanawake vimekuwa vingi,japo usaliti huo wanawake wanashiriki maana wanaume hawaufanyi peke yao.

yupo asee anaitwa kiwatengu ni mwaminifu sana
 
Last edited by a moderator:
ni waaminifu ukiwa naye kitandani akitoka nje anakuwa cha wote!
 
Back
Top Bottom