Je yupo mwanaume mwaminifu?

Je yupo mwanaume mwaminifu?

wanaume waaminifu tupo, mimi moja wapo kwa kipindi cha miaka nane sijawahi kuzini
 
Je wewe ni muaminifu hujawahi msaliti mwenza wako?
 
Je yupo mwanaume ambaye hajawahi kumsaliti mpenzi/mkewe,nikianzia hapa jamvini maana kila mahali vilio vya wanawake vimekuwa vingi,japo usaliti huo wanawake wanashiriki maana wanaume hawaufanyi peke yao.
Tupo bado, usikate tamaa
 
sijisifii toka nimemuo mke wangu 2005 sijawahi kutoka inje ya ndoa yangu na yeye pia huniambia hajawahi kunisaliti ingawa tumeanza uchumba 2003 nilipomjua ila 2004 nilibakwa na rafiki yake wa kike inamaana katika miaka yangu 10 ya ndoa nimetoka mara moja huu ndiyo ukweli wangu

....nahisi hesabu zako haziko sahihi....tofautisha uchumba na ndoa....chunga sana maneno......
 
wanaume waaminifu tupo, mimi moja wapo kwa kipindi cha miaka nane sijawahi kuzini

Aisee!! utakuwa sio mzima, neno kuzini ni zaidi ya tendo la ngono, ila nafikiri umemaanisha hujawahi ku-sex au vipi?
 
Yah, Tupo. Kiukweli mimi Sijifagilii, Mimi sijaoa, Ninampenzi na tuna miaka miwili na nusu sasa, sijawahi kumsaliti hata siku moja. Nina principle moja siwezi kutembea na mtu hili hali nikiwa na mtu mwingine. Ni suala la principle tu
 
mh!sidhani kama wapo na kama wapo may be ni mmoja kati ya elfu moja.
 
Back
Top Bottom