Je, Yu wapi Dkt. Isaac Ndodi?

Hivi ile kwaya iliyokuwa ikichezwa background RFA wakati wa kipindi chake, unaitwaje ule wimbo? naupenda mnooo. Nilikuwaga nafurahia pale tu unapoanza kusikika. Nilishautafuta ule wimbo bila mafanikio, nadhani ni wimbo wa AIC kwaya.

-Kaveli-
Kaveli uliupata huu wimbo?
 
Naomba unielekeze vizuri tafadhali
 
unachukua kitunguu swaumu unavitwanga alafu kabla hujalala usiku, unanawisha nyayo za miguu ziwe safi, unapaka kitunguu swaumu kwenye nyayo za miguu, itabidi uangalie pozi gani utalala ili usichafue kitanda, unaacha hivo hivo mpaka ahsubuhi.
Asante sana mkuu
 
Amerudi radio Uhuru jumatau hadi alhamis na jumapil kuanzia SAA NNE usiku ,,pia ofisin kwake malamba mawili mbezi
Nitaanza kumfatilia ,Hivi Radio Uhuru inapatikana Online TuneIn?
 
Zile tiba ni kweli ila kwa kuzuia magonjwa zaidi. Ukishasubiri hadi hali iwe tete lazima umuite tapeli. Halafu kipo kitabu cha kutib u zaidi ya magonjwa 500 ukikipata hicho hutakanyaga kwa ndodi
 
Tangu nifuate ushauri wake ni miaka minne sasa siijui dawa ya malaria.Kabla nilikuwa nakunywa dawa hizi kila baada ya miezi miwili.Ilikuwa ni lazima uugue malaria
100% ni utapeli. Na ni kawaida sana ya tapeli kuwa na lugha nzuri.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…