Amenisaidia mpka Leo hii ni najua dawa za jino na ninasaidia sana watu kijjn kwangu kwa tatizo lolote LA jino.endeleeni kuponda watu wanapona
Hivi Ile nyimbo inaitwaje? Niliikubali sana.nilichukia sana ile nyimbo pindi kipindi chake kinaanza
Muungano SDA Choir - Natembea ni MarehemuHivi Ile nyimbo inaitwaje? Niliikubali sana.
Alikuwa anakutisha na nini tena😳😅Mi alikua ananitisha tu
Eeh😳🤪 alikuwa anataka tuishi kama msituni tule majani na mboga mboga😅🤣🤣Hahahaaa
Mkuu ebu weka hapa nasi tujueAmenisaidia mpka Leo hii ni najua dawa za jino na ninasaidia sana watu kijjn kwangu kwa tatizo lolote LA jino.endeleeni kuponda watu wanapona
Pia mimi nipo hapa asinisahau😜Unitag ukipata jibu
Nilimuona siku moja mitaa ya kkoo ana bonge la kitambi!!...
Amerudi radio Uhuru jumatau hadi alhamis na jumapil kuanzia SAA NNE usiku ,,pia ofisin kwake malamba mawili mbezinakumbuka nilikua nafuatilia channel ten nafikiri, alitoa tiba ya mafua kwa kutumia kitunguu swaumu, nilijaribu kweli kuchukua kitunguu swaumu nikakitwanga na kupaka kwenye nyayo za miguu, nilipo amka ahsubuhi pua zilikua nyeupe. sijui yukowapi sikuizi huyu jamaa.
radio uhuru frequency ni zipi?Amerudi radio Uhuru jumatau hadi alhamis na jumapil kuanzia SAA NNE usiku ,,pia ofisin kwake malamba mawili mbezi