Je, Yu wapi Dkt. Isaac Ndodi?

Hahah jamaa mswahili sana yule.

Anakwambia kwny tendo mwanamke ni kama chungu kinachelewa kupata moto na kinachelewa kupoa huku mwanaume ni kama sufuria linawahi kupata moto na linawahi kupoa.
Yani ndondi alijua kukamata watu Sana hapo kapiga hela za wanawake na wanaume na bado anaongelea Mambo ya chungu na sufuria
 
Mmmmmmhmn so mababu na bibi zetu ambao wamekula dona maisha yao yote hiyo Aflatoxin haikuwapo au ndio mzungu ni kama MUNGU anachosema na asikilizwe?!

Unajua madhara ya kula masembe wewe?!

Unga wa dona unbalance virutubisho na ndio maana hata wagonjwa wa kisukari wanatakiwa kutumia huo na sio ule wa sembe. Sembe sio nzuri kwasababu inasababisha mwili kuzalisha kiwango kikubwa sana cha sukari inayotokana na wanga wake. Na mwishowe ndio watu wanakuwa na mifuta mwilini na haieleweki inatokea wapi.
 
Shukrani kwa hii elimu mkuu.
 
Hiyo kua na kitambi tu ni ishara kua ameshindwa kujisaidia yeye mwenyewe na hzo tiba lishe zake
 

Sumu ya Aflatoxin inatokea tu ikiwa mahindi yalivunda, kama yalikauka vizuri na hayakuingia maji mahindi hayana shida kabisa. Pia sumu hiyo inaua haraka, otherwise ungeona watu wanaanguka kila mahali kwa sababu ya kula ugali.

Sawa inabidi tuchukue tahadhari lakini sio kweli kuwa unga wa dona una sumu.
 
Mkuu hapa umetupiga fix, sumu kuvu (aflotoxin) haisababishwi na kiini bali uhifadhi mbaya ambao hupelekea mahindi kutengeneza kuvu hiyo kuvu sasa ndio huzalisha hiyo sumu

Pia inapatikana kwenye karanga na mazao mengine mengi tu ambayo hayakuhifadhiwa vizuri sasa na kwenye karanga utasema kuna kiini

Hata huo unga wa sembe (ukishakua tayari) kama haukuhifadhiwa mahali pakavu vizuri bada unaweza tengeneza kuvu na kisha kutokeza sumu ya aflotoxin
 
Jamani watanzania hebu tuacheni UONGO uliotukuka, ndodi ni mfupi wa kimo hizi hadithi mnatoa wapi kudanganya wanaJF?
Hahah niliwahi kukutana nae ana bonge ya kitambi na hivi ni 'mrefu',alikua anaingia NMB na mabegi makubwa mawili meusi ya pesa na kipindi hicho alikua na semina kwny mkoa huo,nikajua ameshazikusanya za kutosha.

 
We ulisikia wapi?
 
mambo mawili
la kwanza hao wadudu wamepandikizwa yaan wakuletwa wameundwa maabara

jambo la pili ambalo ndio kuu zaidi hawatumii mbegu za asili zile za zamani ambazo zilikuwa na uwezo wa kuhimili magonjwa kwa kiasi kikubwa unaweza mche 1 tu ukawa umeathirika na mingne ikawa poa lkn mbegh hizi za kisasa ugonjwa ukianza mche 1 tegemea shamba zima km ujamwagilia dawa zao

SOLUTION tutumie mbegu zetu za hasili za zamani kuepusha madhala

mana nimeshangaa siku hizi mpk mpunga unatiwa mbolea unapuliziwa na dawa aisee sasa hii si balaa inapoelekea mpk muhogo utawekwa mbolea aisee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…