miamia100
JF-Expert Member
- Nov 13, 2019
- 358
- 430
Cbg daktari wa mifugo hasomei wa binadamuMkuu weka matokeo yake kwa ujumla tujue namna ya kukushauri na sio kulaumu.
Sometimes watu hawasomi ili watimize ndoto zao ila ni kwa namna matokeo yako unayoyapata ndio yanakupa mwelekeo.
Vile vile kamaa hujaridhika unaweza kumuhamisha kumpeleka private schoools.
CBG ni ngumu kuwa daktari maana Md wanataka PCB tena uwe na divishen one.