Kaka maasai
Member
- Jul 26, 2026
- 84
- 197
Uweusi wao unapendeza sana nakuvutia sana.sio kama wanaojichibua ambao wamebabuka ngozi.
Napenda sana wanawake weusi.
Napenda sana wanawake weusi.
Punguzeni kukaza hadi anabadili mbinu jamani bado mnaichomoaHaiombwi hivyo
Ukimpata mweusi kama mpingo, wanakuwaga watamu sanaUweusi wao unapendeza sana nakuvutia sana.sio kama wanaojichibua ambao wamebabuka ngozi.
Napenda sana wanawake weusi.
Weusi ni weusi tu na chocolate ni chocolate tu ..Uweusi wa chocolate ndoh unyama kabisa.
😂😂Punguzeni kukaza hadi anabadili mbinu jamani bado mnaichomoa
Joanah.. hivi we mweusi kuliko yule mangara.?Haiombwi hivyo
Mangara umenikumbusha mbali hili neno 😃Joanah.. hivi we mweusi kuliko yule mangara.?