Mashetani wekundu vs Mashetani weusi

Mashetani wekundu vs Mashetani weusi

Ponjoro wa Kinondoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
3,774
Reaction score
10,320
Je umewahi kusikia kuhusu mashetani weusi? Najua watu wengi wamezoea kusikia mashetani wekundu aka Manchester United, sasa kuna mashetani wengine ni weusi hao wanabalaa zito.

Mashetani weusi wanajulikana pia kwa jina la CCM, ombea kukutana na mashetani yote unayoyajua wewe kuliko haya mashetani meusi.

Yanaweza kukuteka, kukuua na yakaendelea kuchekelea tu kama hakuna kilicho tokea, yenyewe yanapenda madaraka kuliko kitu kingine chochote na yapo tayari kubaki madarakani kwa kuua hata raia wote ikibidi.
 
Hayo mashetani aliyafuga Nyerere, sasa amekufa hayana mfugaji yamefunguwa zizi yanashambulia kila kiumbe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom