Je, watanzania tunataka demokrasia au maendeleo?

Labda nikwambie tu kitu bloo!! tunaitaji elimu bure lakini sio hio ambayo ni grade ya mwisho!! tunahitaji huduma hospitalini na sio bora huduma, treni sio lazima kama hakuna huduma bora!!
just imagine huo mladi wa treni umeghalim pesa nyingi ifapunguza nini? ikiwa treni yenyewe ni kutoka dar--moro
kwahyo kisa morogoro tu ndo tupate elimu mbovu, nowdays huko vijijini umeona hali ya shule ilivyo??barabara sio kitu kigeni toka enzi za kikwete barabara zilikua zinatengenezwa kwahyo piga kimya!!

Sisi pia hatutaki kuingilia miili ya watu, mtu ashakua shoga ndo anavyo feel huwezi kumtoa kwenye hali hio!! kwahyo hatutaki kiki apah.

Viongozi hawatukanwi viongozi wanaambiwa ukweli na kejeli huja baada ya kuona mabavu ndo yanatake place kuliko hoja....

Unataka wapinzan waje na hoja gani? mana always wapinzani huja na hoja za kueleweka huwa hawakurupuki!!!
 
Watanzania tunataka maendeleo hatuna shida na kitu kinachoitwa demokrasia watanzania tunataka elimu bure,watanzania tunataka kuhudumiwa vizuri tunapokwenda mahospitalini,ofisi za serikali,watanzania tunataka treni mwendokasi,watanzania tunataka barabara nzuri hatutaki uhuru unaoruhusu wanaume kwa wanaume kuoana,hatutaki demokrasia ya kutukana viongozi,hatutaki demokrasia ya kukejeli juhudi za maendeleo hivyo tunashauri vyama vya upinzani waje na hoja ya jinsi gani watatuletea maendeleo na kudumisha mila na utamaduni wetu ambao ndio prestige yatu sio hoja dhaifu ya demokrasia kwani demokrasia ni upuuzi kama hakuna maendeleo
Ushoga na wizi wa trilion 1.5 vina uhusiano gani? Ushoga na ujenzi wa chato Airport kienyeji pasipo idhini ya Bunge vina uhusiano gani? 10% kwenye miladi yote ikiwemo ufisadi mkubwa kwenye ununuzi ndege kwa cash vina uhusiano gani? Kuchukua pesa za umma kumlipa cyprian Musiba kutengeneza propaganda za kijinga jinga zisizo na Tija kwa Taifa vina uhusiano gani na ushoga na maendeleo? Hakuna demokrasia Wapinzani wamezuiliwa kufanya mikutano hakuna uhuru wa Siasa maendeleo yatakuja vipi? Amani hakuna Wapinzani wanapigwa Risasi wakienda kutibiwa mnawanyima pesa za matibabu na wakilalamika mnakuja na visingizio vya kishamba kipumbavu kuwa wamewatukana viongozi wachache madikteta wa CCM na mnawapora mishahara, Pesa inayotumika kudhoofisha chadema na kuua upinzani kukandamiza demokrasia ni pesa nyingi sana na kama ingetumika kuleta maendeleo leo hii Tanganyika ingekuwa Nchi tajiri kuliko South Africa na Ulaya, ingeweza kujenga viwanja Hospt za rufaa kila mkoa na kuwaajiri madaktari toka India na kwingineko Duniani ikaokoa pesa nyingi kama alizotumia Ndungai kuishi kwenye Hotel ya nyota tano huko India, pesa wanazolipwa wasiojulikana ni pesa nyingi ni pesa ambazo zingeweza kujenga daraja toka dsm mpaka Zanzibar na pemba na pia kujenga daraja toka mtwara mpaka mafia na kutoka mwanza mpaka ukerewe. Maendeleo hayaji kwa udikteta huo wa CCM na kama CCM wataendelea kuwa madarakani miaka mingine ijayo inabidi watanzania wasahau maendeleo kabsa wabakie kuomba mungu aone udikteta wao na kuokoa Taifa.
 
umekuja kwenye pointi libya wamepata demokrasia wanayoitaka je unahisi wanaishi vizuri je kwa nini wanapigana sasa hivi embu tusiwe wajinga wa kushikiwa akili na hao wakoloni wanaotaka kuzivuruga nchi zetu kwa kile wanachoiita demokrasia look at saudia arabia wanavyoish ndo utajua demokrasia ni upupu
usahihi ni kwamba.Libya haijapata demokrasia...
 
Hivi saudi arabia hawana maendeleo,je libya ya gadaffi na ya leo yenye demokrasia ipi ina maendeleo , Tuangalie kati ya Brunei na marekani wapi wanamaisha mazuri bado ujaongelea qatar
hahahaaaa Brunei na Marekani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Labda nikwambie tu kitu bloo!! tunaitaji elimu bure lakini sio hio ambayo ni grade ya mwisho!! tunahitaji huduma hospitalini na sio bora huduma, treni sio lazima kama hakuna huduma bora!!
just imagine huo mladi wa treni umeghalim pesa nyingi ifapunguza nini? ikiwa treni yenyewe ni kutoka dar--moro
kwahyo kisa morogoro tu ndo tupate elimu mbovu, nowdays huko vijijini umeona hali ya shule ilivyo??barabara sio kitu kigeni toka enzi za kikwete barabara zilikua zinatengenezwa kwahyo piga kimya!!

Sisi pia hatutaki kuingilia miili ya watu, mtu ashakua shoga ndo anavyo feel huwezi kumtoa kwenye hali hio!! kwahyo hatutaki kiki apah.

Viongozi hawatukanwi viongozi wanaambiwa ukweli na kejeli huja baada ya kuona mabavu ndo yanatake place kuliko hoja....

Unataka wapinzan waje na hoja gani? mana always wapinzani huja na hoja za kueleweka huwa hawakurupuki!!!

Hakuna maendeleo kama hakuna demokrasia wala uhuru wa kufanya Siasa kwani Wapinzani ndiyo kioo cha kuona kero na mapungufu ya Serikali baada ya kukosolewa hujirekebisha na ndipo maendeleo huja, kwa sasa Naibu Rais ndugu Daud Arbaty Bashite anaamuru Wapinzani wakomeshwe wafanyiziwe kila aina ya unyama unyanyasaji kisha wanahubiri maendeleo ni vigumu kupata maendeleo ktk mfumo wa ukandamizaji demokrasia nchini.
 
Maendeleo nihoja pana,demokrasia no pati ya maendeleo. Hats Hitler alifanya maendeleo kule ujerumani,hats wakoloni walijenga reli na Barbara. Tulipigania Uhuru ili tuishi kwa Uhuru na kuheshimu,kusikilizwa matakwa yetu pia utu wakila mmoja kuheshimiwa. Hatuwezi vumilia MTU wa rangi yetu au yao kutupeleka aonavyo yeye na kufunga wale anaopingana nao kihoja,eti ukimbishia jambo unakuwa msaliti na dawa yako in jela ama kupotezwa!! Poor na stupid minds ndizo zinaweza kudhani demokrasia haina umuhimu,watu wakichoka vita ikatokea vyooote vilivyojengwa vitakuwa masizi kama Syria nk.
 
Hakuna maendeleo kama hakuna demokrasia wala uhuru wa kufanya Siasa kwani Wapinzani ndiyo kioo cha kuona kero na mapungufu ya Serikali baada ya kukosolewa hujirekebisha na ndipo maendeleo huja, kwa sasa Naibu Rais ndugu Daud Arbaty Bashite anaamuru Wapinzani wakomeshwe wafanyiziwe kila aina ya unyama unyanyasaji kisha wanahubiri maendeleo ni vigumu kupata maendeleo ktk mfumo wa ukandamizaji demokrasia nchini.

fact mkuu
 
Watanzania tunataka maendeleo hatuna shida na kitu kinachoitwa demokrasia watanzania tunataka elimu bure,watanzania tunataka kuhudumiwa vizuri tunapokwenda mahospitalini,ofisi za serikali,watanzania tunataka treni mwendokasi,watanzania tunataka barabara nzuri hatutaki uhuru unaoruhusu wanaume kwa wanaume kuoana,hatutaki demokrasia ya kutukana viongozi,hatutaki demokrasia ya kukejeli juhudi za maendeleo hivyo tunashauri vyama vya upinzani waje na hoja ya jinsi gani watatuletea maendeleo na kudumisha mila na utamaduni wetu ambao ndio prestige yatu sio hoja dhaifu ya demokrasia kwani demokrasia ni upuuzi kama hakuna maendeleo
TUMRUDISHE MKOLONI BASI
 
mkuu embu kasome demokrasia ya brunei,saudia ,qatar pamoja na kuwait then angalia jinsi raia wake wanvyoish maisha mazuri ukilinganisha na nchi za kidemokrasia
Maisha ya huko si kigezo cha CCM kumlipa cyprian Musiba kutengeneza propaganda za kijinga jinga zisizo na Tija kwa Taifa, yaani cyprian Musiba ametumia fursa ya mtukufu malaika toka chato kuuchukia upinzani kupiga pesa kirahisi kapata pesa nyingi kupitia mgongo wa chadema na watu wengine ni aina mpya ya ufujaji wa pesa za walipa kodi
 
mkuu embu kasome demokrasia ya brunei,saudia ,qatar pamoja na kuwait then angalia jinsi raia wake wanvyoish maisha mazuri ukilinganisha na nchi za kidemokrasia
Mkuu 'ndugu' yangu kuna vitu vingi vimefanya wakafika pale walipo. mafuta yao yamewanufaisha kwa njia sahihi za kukuza uchumi zisizo na mabakabaka..pia kihistoria jamii yao ina mrengo mkubwa wa 'imani' ya dini mojawapo kubwa. kuna mengi ambayo nchi zetu haziwezi kufananishwa nao..ki-jiografia. idadi ya watu, elimu, dini na utamaduni,
 
Watanzania tunataka maendeleo hatuna shida na kitu kinachoitwa demokrasia watanzania tunataka elimu bure,watanzania tunataka kuhudumiwa vizuri tunapokwenda mahospitalini,ofisi za serikali,watanzania tunataka treni mwendokasi,watanzania tunataka barabara nzuri hatutaki uhuru unaoruhusu wanaume kwa wanaume kuoana,hatutaki demokrasia ya kutukana viongozi,hatutaki demokrasia ya kukejeli juhudi za maendeleo hivyo tunashauri vyama vya upinzani waje na hoja ya jinsi gani watatuletea maendeleo na kudumisha mila na utamaduni wetu ambao ndio prestige yatu sio hoja dhaifu ya demokrasia kwani demokrasia ni upuuzi kama hakuna maendeleo
Ivi serikali imepinga ushoga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kukusaidia tu mkubwa rejea darasani kasome tena maana ya democracy yawezekana una tafsiri yako kuhusu neno dekocracy ndio maana ume toa maoni hayo
 
Watanzania tunataka maendeleo hatuna shida na kitu kinachoitwa demokrasia watanzania tunataka elimu bure,watanzania tunataka kuhudumiwa vizuri tunapokwenda mahospitalini,ofisi za serikali,watanzania tunataka treni mwendokasi,watanzania tunataka barabara nzuri hatutaki uhuru unaoruhusu wanaume kwa wanaume kuoana,hatutaki demokrasia ya kutukana viongozi,hatutaki demokrasia ya kukejeli juhudi za maendeleo hivyo tunashauri vyama vya upinzani waje na hoja ya jinsi gani watatuletea maendeleo na kudumisha mila na utamaduni wetu ambao ndio prestige yatu sio hoja dhaifu ya demokrasia kwani demokrasia ni upuuzi kama hakuna maendeleo
Huwezi kupata maendeleo kama hakuna demokrasia muwe mnafikiri vizuri hata haya unayaona yanafanyika ni kwa sababu ya utisho wa kidemokrasia. Sijui mnakwama wapi kufikiri vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom