Je, watanzania tunataka demokrasia au maendeleo?

umekuja kwenye pointi libya wamepata demokrasia wanayoitaka je unahisi wanaishi vizuri je kwa nini wanapigana sasa hivi embu tusiwe wajinga wa kushikiwa akili na hao wakoloni wanaotaka kuzivuruga nchi zetu kwa kile wanachoiita demokrasia look at saudia arabia wanavyoish ndo utajua demokrasia ni upupu
Kama hivyo tusissikie watu kupotezwa,mambo ya 1.5, kila kitu kifuate sheria, tuhoji mapato na matumizi bila kubugudhiwa hapo hutasikia kelele
 
umekuja kwenye pointi libya wamepata demokrasia wanayoitaka je unahisi wanaishi vizuri je kwa nini wanapigana sasa hivi embu tusiwe wajinga wa kushikiwa akili na hao wakoloni wanaotaka kuzivuruga nchi zetu kwa kile wanachoiita demokrasia look at saudia arabia wanavyoish ndo utajua demokrasia ni upupu
Hujui demokrasia ni nini

Demokrasia sio kupigana kama udhaniavyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania tunataka maendeleo hatuna shida na kitu kinachoitwa demokrasia watanzania tunataka elimu bure,watanzania tunataka kuhudumiwa vizuri tunapokwenda mahospitalini,ofisi za serikali,watanzania tunataka treni mwendokasi,watanzania tunataka barabara nzuri hatutaki uhuru unaoruhusu wanaume kwa wanaume kuoana,hatutaki demokrasia ya kutukana viongozi,hatutaki demokrasia ya kukejeli juhudi za maendeleo hivyo tunashauri vyama vya upinzani waje na hoja ya jinsi gani watatuletea maendeleo na kudumisha mila na utamaduni wetu ambao ndio prestige yatu sio hoja dhaifu ya demokrasia kwani demokrasia ni upuuzi kama hakuna maendeleo
Tuambie utatumia kipimo gani kujua hivyo ulivyovitaja vinapatikana kwa usahihi?Kwa akili yako ya division 5 unadhani democrasia ni vyama vya siasa tu?pole sana
 
Watanzania tunataka maendeleo hatuna shida na kitu kinachoitwa demokrasia watanzania tunataka elimu bure,watanzania tunataka kuhudumiwa vizuri tunapokwenda mahospitalini,ofisi za serikali,watanzania tunataka treni mwendokasi,watanzania tunataka barabara nzuri hatutaki uhuru unaoruhusu wanaume kwa wanaume kuoana,hatutaki demokrasia ya kutukana viongozi,hatutaki demokrasia ya kukejeli juhudi za maendeleo hivyo tunashauri vyama vya upinzani waje na hoja ya jinsi gani watatuletea maendeleo na kudumisha mila na utamaduni wetu ambao ndio prestige yatu sio hoja dhaifu ya demokrasia kwani demokrasia ni upuuzi kama hakuna maendeleo
huwezi kupata maendeleo bila demokrasia acha utahila malaya wewe. na hata kama tungetaka maendeleo bila demokrasia sio maamuzi ya serikali bali ni maamuzi ya wananchi wenyewe. kukataa demokrasia ni kukubali vibaka wa awamu hii kujimilikisha taifa na mali zake. kama walivyo jipa madaraka ya kununua ndege na kujenga uwaja wa ndenge polini bila idhini yetu wala wawakilishi wetu kuhusishwa.
 
Siku zote huwezi tenganisha kati ya maendeleo na demokrasia, unaweza nitajia nchi tano zenye maendeleo ila hakuna demokrasia au nchi yenye demokrasia nzuri ila hakuna maendeleo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu huyo mr.Wahapahapa unategemea atakujibu nini.yeye ametema tu kile alichokaririshwa na Mr. Wahapahapa wenzie wakati akijaribu kujustify ujinga wake
 
Watanzania tunataka maendeleo hatuna shida na kitu kinachoitwa demokrasia watanzania tunataka elimu bure,watanzania tunataka kuhudumiwa vizuri tunapokwenda mahospitalini,ofisi za serikali,watanzania tunataka treni mwendokasi,watanzania tunataka barabara nzuri hatutaki uhuru unaoruhusu wanaume kwa wanaume kuoana,hatutaki demokrasia ya kutukana viongozi,hatutaki demokrasia ya kukejeli juhudi za maendeleo hivyo tunashauri vyama vya upinzani waje na hoja ya jinsi gani watatuletea maendeleo na kudumisha mila na utamaduni wetu ambao ndio prestige yatu sio hoja dhaifu ya demokrasia kwani demokrasia ni upuuzi kama hakuna maendeleo
Unasumbuliwa usukuma si kitu kingine !!. Gaddafi aliwafanyia wa Libya mambo mazuri, lakini alipowanyima uhuru, nchi imemvunjikia huku akiona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umekuja kwenye pointi libya wamepata demokrasia wanayoitaka je unahisi wanaishi vizuri je kwa nini wanapigana sasa hivi embu tusiwe wajinga wa kushikiwa akili na hao wakoloni wanaotaka kuzivuruga nchi zetu kwa kile wanachoiita demokrasia look at saudia arabia wanavyoish ndo utajua demokrasia ni upupu
Libya imevunjika sababu ya kuzuia democracy !!. Nchi zote zilizopiga hatua ni zile za ki democracy, na si za ki dictator.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kungekuwa na watu wa KIBYA humu wangetupa jibu zuri
Kipindi cha Gadafi walikuwa na maendeleo sana lkn hawakuwa na demoklasia
Sasa hivi sijui kipindi cha nani wana demoklasia lakini maebdeleo hawana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kichwa cha habari umeuliza swali alafu kwenye mada.ukajijibu sasa sisi tuseme nini.
 
mkuu libya imevunjika kwa sababu ya kushikiwa akili na wamagharibu uroho wa madaraka wa wapinzani uchwara na vibaraka wa wazungu kama alivyo kwa tundu lisu
Huna hoja !! Kwanini mng'ang'anie madaraka ?! Maendeleo hayajawahi kuletwa na ma dictator popote duniani. Angalia kaskazini, kusini, magharibi na mashariki . U dictator haijawahi kufanikiwa.

Nchi za magharibi zote zilizofanikiwa ni za ki democracy. Na zile zinazojifanya ni za kijamaa (dictatorship) akina Korea kaskazini, Cuba nk nk hawana maendeleo endelevu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania tunataka maendeleo hatuna shida na kitu kinachoitwa demokrasia watanzania tunataka elimu bure,watanzania tunataka kuhudumiwa vizuri tunapokwenda mahospitalini,ofisi za serikali,watanzania tunataka treni mwendokasi,watanzania tunataka barabara nzuri hatutaki uhuru unaoruhusu wanaume kwa wanaume kuoana,hatutaki demokrasia ya kutukana viongozi,hatutaki demokrasia ya kukejeli juhudi za maendeleo hivyo tunashauri vyama vya upinzani waje na hoja ya jinsi gani watatuletea maendeleo na kudumisha mila na utamaduni wetu ambao ndio prestige yatu sio hoja dhaifu ya demokrasia kwani demokrasia ni upuuzi kama hakuna maendeleo

Yaani unavyoandika utafikiri unamuongelea kila mtu. Hayo ni mawazo yako wewe binafsi na washirika wako lakini wengine wanataka vyote, demokrasia na maendeleo. Kama nchi zinazoipa misaada Tanzania zina vyote viwili, demokrasia na maendeleo.
 
mkuu kama huna research huna right ya kutalk hivi unahisi kati ya state na saudia au brunei wapi wananchi wake wanaish maisha mazur jiulize why marekani anapata kigugumizi kuiwekea saudia vikwazo
Ww ndo hujui na hukuwa na haki ya kuja kuandika hapa!
Nilichomanisha ni kuwa maisha ya mtu wa state mwenye kipato kidogo kwa mtu wa saudia huwez wafananisha mana wa State anauhuru wa kuamua namna ya kuitumia pesa yake ila wa Oman ama Dubai ama Saudia hana hiyo na amelimitiwa matumizi yake na mipaka yake!!

Yawezekna u mweupe sana hujui kwa nn Nchi ile haiwekewi vikwazo na nchi kubwa! Unadhani wao wajinga waiwekee Iran vikwazo na waiwekee saudia vikwazo ama Qatar?

Yawezekana hujui ila umekurupuka tu kunijibu kwa kuwa umegoogle tu!!
 
Kuna vitu ukiongea utaonekana unakipendelea chama tawala lakini tulipofikia tukisema tu practise demokrasia kwa uhalisia wake kwa akili zetu watanzania tutakuwa tunapiga siasa kwenda mbele badala ya kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom