MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 4,842
- 15,145
Hatuhitaji maendeleo ya "vitu" tu tunahitaji maendeleo ya demokrasia pia yenye kuchochea tija ya ustawi wa jamii iliyo na maadili mema.
Fikiria kwa mfano tunakuwa na hoapitali nyingi nzuri sana lakini hatuna amani ya kutoka majumbani mwetu na kuzifikia hizo hospitali bila kuuwawa/kupotezwa na wasiojulikana
Fikiria kwa mfano tunakuwa na flyovers kila kona ya nchi lakini tunakosa amani ya kuendesha magari yetu katika flyover hizo tukihofia kupotezwa wakati wowote kwasababu tumechangia mada fulani isiyoipendeza serikali.
Unadhani katika hali kama hiyo hivyo vitu vitakua na maana tena katika maisha yetu ya kila siku???
Sent using Jamii Forums mobile app