Je, watanzania tunataka demokrasia au maendeleo?

Huwezi kupata maendeleo kama hakuna demokrasia muwe mnafikiri vizuri hata haya unayaona yanafanyika ni kwa sababu ya utisho wa kidemokrasia. Sijui mnakwama wapi kufikiri vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanakwsmia hapa , Mshauri mkuu wa mtukufu malaika toka chato ni Naibu Rais ndugu Daud Arbaty Bashite ambaye hana vyeti na kibaya zaidi washauri wakuu wa Bashite mwenyewe ni wale mbumbumbu vilaza Le mutuz, cyprian Musiba jerry muro na wenzao, sasa fuatilia mlolongo wa ushauri unavyokwenda utabaini Tatizo lipo wapi na vigumu kwa Taifa la Tanganyika kupata maendeleo kamwe mbele ya ushauri wa hao Vilaza.
 
Watanzania tunataka maendeleo hatuna shida na kitu kinachoitwa demokrasia watanzania tunataka elimu bure,watanzania tunataka kuhudumiwa vizuri tunapokwenda mahospitalini,ofisi za serikali,watanzania tunataka treni mwendokasi,watanzania tunataka barabara nzuri hatutaki uhuru unaoruhusu wanaume kwa wanaume kuoana,hatutaki demokrasia ya kutukana viongozi,hatutaki demokrasia ya kukejeli juhudi za maendeleo hivyo tunashauri vyama vya upinzani waje na hoja ya jinsi gani watatuletea maendeleo na kudumisha mila na utamaduni wetu ambao ndio prestige yatu sio hoja dhaifu ya demokrasia kwani demokrasia ni upuuzi kama hakuna maendeleo
Demokrasia na Maendeleo ni mapacha, nchi haiwezi pata maendeleo safi pasipo kua na demokrasia. Demokrasia ni MBOLEA kwa maendeleo. Nchi nyingi ambazo hazina demokrasia hata kimaendeleo zinasuasua.
 
Unaelewa maana ya maendeleo?

Swali lako ni sawa na mtu anayeuliza, 'unataka maji au huduma za jamii?'

Au ni sawa na kuuliza,

'Unataka cocacola au soda?'
 
Badilisha tittle
Watanzania wa wapi unawaongelea?

Sisi watanzania tunataka Demokrasia na Maendeleo.

Sisiemu wanataka wananchi wajinga wasioweza kuhoji, wanaoburuzwa na wawe masikini wa fikra na mali huo ndio wanatumia kama mtaji wao wa kubaki madarakani milele.

Hatutakubali!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
s
Watanzania tunataka maendeleo hatuna shida na kitu kinachoitwa demokrasia watanzania tunataka elimu bure,watanzania tunataka kuhudumiwa vizuri tunapokwenda mahospitalini,ofisi za serikali,watanzania tunataka treni mwendokasi,watanzania tunataka barabara nzuri hatutaki uhuru unaoruhusu wanaume kwa wanaume kuoana,hatutaki demokrasia ya kutukana viongozi,hatutaki demokrasia ya kukejeli juhudi za maendeleo hivyo tunashauri vyama vya upinzani waje na hoja ya jinsi gani watatuletea maendeleo na kudumisha mila na utamaduni wetu ambao ndio prestige yatu sio hoja dhaifu ya demokrasia kwani demokrasia ni upuuzi kama hakuna maendeleo
sasa mzee kwa hisani zenu si mupeleke mswada bungeni ipigwe marufuku vyama vingi hizi bla bla za nn
 
Demokrasia na Maendeleo ni mapacha, nchi haiwezi pata maendeleo safi pasipo kua na demokrasia. Demokrasia ni MBOLEA kwa maendeleo. Nchi nyingi ambazo hazina demokrasia hata kimaendeleo zinasuasua.
Kwa Utawala huu wa Naibu Rais ndugu Daud Arbaty Bashite na mtukufu malaika toka chato wao maendeleo yao ni kuwabambikia kesi kuwapiga Risasi Wapinzani kisha kuwanyima pesa za matibabu na kibaya zaidi Ndungai anapora mshahara na kwenda kula na michepuko huku wakitaka aliyehujumiwa mshahara wake asiombe msaaada wa kujikimu wakitaka ashinde njaa aje kuwapigia magoti ni aibu kwa watu hao wanaopenda kuzunguka zunguka kwenye nyumba za ibada kuomba waombewe huko mioyoni mwao wamejawa na ushetani wa kutisha
 
Watanzania tunataka maendeleo hatuna shida na kitu kinachoitwa demokrasia watanzania tunataka elimu bure,watanzania tunataka kuhudumiwa vizuri tunapokwenda mahospitalini,ofisi za serikali,watanzania tunataka treni mwendokasi,watanzania tunataka barabara nzuri hatutaki uhuru unaoruhusu wanaume kwa wanaume kuoana,hatutaki demokrasia ya kutukana viongozi,hatutaki demokrasia ya kukejeli juhudi za maendeleo hivyo tunashauri vyama vya upinzani waje na hoja ya jinsi gani watatuletea maendeleo na kudumisha mila na utamaduni wetu ambao ndio prestige yatu sio hoja dhaifu ya demokrasia kwani demokrasia ni upuuzi kama hakuna maendeleo

upuuzi ni huu ulioandika hapa, Vipi utaleta maendeleo kwenye nchi ambayo haina demokrasia, ni mtazamo wako tu kwamba maendeleo na demokrasia vitu viwili tofauti. em jaribu kutupia jicho nchi ambazo demokrasia imekuwa ni ndoto kwa hapa Africa utajifunza mengi ndugu yangu.

Nyinyi ndio mnalishwa maneno na mkayameza kweli kweli, akili zenu siku zote zinakuwa zimeganda na kuwa kama jiwe
 
s

sasa mzee kwa hisani zenu si mupeleke mswada bungeni ipigwe marufuku vyama vingi hizi bla bla za nn
Mda si mrefu mtukufu malaika toka chato na Naibu Rais ndugu Daud Arbaty Bashite watafanya Ziara ndefu Nchini China lengo likiwa ni kwenda kujifunza jinsi ya kuendesha nchini kwa mfumo wa chama kimoja na pia wataomba pesa za kuwanunua madiwani, wabunge, wenyeviti wa Serikali za mitaa Wapinzani wote na kisha kuichonganisha chadema kufanya mbowe agombane na Lema na Tundu Lisu, mnyika, Mdee na wengineo hata akina Lowasa wakorogane na Sumaye Dr safari profesa baregu na wengineo mpaka chama kisambaratike kama NCCR mageuzi na TLP au kile chama cha Babu Cheyo, Yaani wakirejea toka china watakuja na kimbunga cha vuruga koroga hujumu dhoofisha chadema kwa gharama yeyote ile ni vyema chadema watambue hilo mapema waombe mungu akatae huo ushetani wa Bashite na mtukufu malaika toka chato mapema.
 
upuuzi ni huu ulioandika hapa, Vipi utaleta maendeleo kwenye nchi ambayo haina demokrasia, ni mtazamo wako tu kwamba maendeleo na demokrasia vitu viwili tofauti. em jaribu kutupia jicho nchi ambazo demokrasia imekuwa ni ndoto kwa hapa Africa utajifunza mengi ndugu yangu.

Nyinyi ndio mnalishwa maneno na mkayameza kweli kweli, akili zenu siku zote zinakuwa zimeganda na kuwa kama jiwe
Watetezi wa CCM mitandaoni wote ni mbumbumbu zuzu juha vilaza wapo gheto kwa cyprian Musiba wanashindia maharage na kukariri ujinga wa cyprian Musiba na Le mutuz pasipo kuchanganya na viakili vyao finyu ni Aibu kwa chama kama CCM kuwategemea wajinga wajinga kama hao kuwa watetezi wao mitandaoni.
 
Demokrasia kwanza then maendeleo. Hakuna maendeleo bila demokrasia. Haijawahi kutokea na haitatokea maendeleo yakapatikana bila demokrasia. Na muujiza huo ukitokea maendeleo hayatakuwa na maana. Itakuwa sawa na yale maendeleo yaliyokataliwa kule Africa ya kusini. Elimu bure, hospitali bure sio maendeleo huo ni mfumo tu. Maendeleo ni zaidi ya hivyo
Watanzania tunataka maendeleo hatuna shida na kitu kinachoitwa demokrasia watanzania tunataka elimu bure,watanzania tunataka kuhudumiwa vizuri tunapokwenda mahospitalini,ofisi za serikali,watanzania tunataka treni mwendokasi,watanzania tunataka barabara nzuri hatutaki uhuru unaoruhusu wanaume kwa wanaume kuoana,hatutaki demokrasia ya kutukana viongozi,hatutaki demokrasia ya kukejeli juhudi za maendeleo hivyo tunashauri vyama vya upinzani waje na hoja ya jinsi gani watatuletea maendeleo na kudumisha mila na utamaduni wetu ambao ndio prestige yatu sio hoja dhaifu ya demokrasia kwani demokrasia ni upuuzi kama hakuna maendeleo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Libya naona wamerudi nyuma sana ukilinganisha na enzi za Gadafi. Maendeleo hawana wala hiyo Demokrasia waliotaka bado hawajaipata. Its "complete Total Loss in the business they transacted". Walidanganywa.
 
Kama unaweza kuleta maendeleo lakini huwezi kutekeleza demokrasia, kaa pembeni wako wanaoweza kutekeleza demokrasia na kuleta maendeleo. Vyote tunahitaji na wala kimoja sio mbadala wa kingine.
 
Libya naona wamerudi nyuma sana ukilinganisha na enzi za Gadafi. Maendeleo hawana wala hiyo Demokrasia waliotaka bado hawajaipata. Its "complete Total Loss in the business they transacted". Walidanganywa.

Hayo yote yalichangiwa na Gaddafi kung'ang'ania madaraka, matokeo yake yeye kayakosa maendeleo, kaikosa demokrasia na duniani hayupo tena!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom