Hapana, amani ni tunu adhimu, kikubwa uhai, hivi leo Libya baharini kumekuwa afadhali kuliko ardhini. Mwenye akili hujifunza kwa makosa waliyofanya wenzake. Na kuitupia lawama serikali kwa kila tatizo huko ni kukosa maarifa.Nchi hii bila kuitoa CCM madarakani hakuna kitu kitafanyika, na kwa hali tuliyofikia tunahitaji kupachimbisha kihamza hamza na sio kwa kupiga kura ili CCM watuachie nchi yetu.
Narudia tena tunawahitaji wakina hamza kadhaa ili tupone.
usalama ndio kabisaa..Jwtz limelala fofofooo
Uvumilivu unamwisho, hadi leo Symbion wanatukamua, na wataendelea kuwakamua watoto na wajukuu zetu, sijui hadi lini, enough is enough!!Hapana, amani ni tunu adhimu, kikubwa uhai, hivi leo Libya baharini kumekuwa afadhali kuliko ardhini. Mwenye akili hujifunza kwa makosa waliyofanya wenzake. Na kuitupia lawama serikali kwa kila tatizo huko ni kukosa maarifa.
Tena sana!!Inafikirisha 🤔
Wasije wakajaribu tena huu mchezo, hatutakubaliKumbe haya ndo yalitokea? Kumbe ndo maana wameweka kinga ya kikatiba ya kutokushtakiwa hata baada ya kutoka madarakani
Hawa kina lowasa wamewekewa kinga ya kutokushtakiwa lakin ilitakiwa wahukumiwe kunyongwa.
Kwa halii hii na mazingira haya ya katiba kuwawekea kinga ya kutokushtakiwa kwa viongozi wakubwa kiserekali Yani itakua kila mtu anajichotea pesa kujitajirisha maana anajua hmna cha kumfanya, hata hizi tozo zinazo tuumiza sisi wananchi wa kawaida ni lazma zitakuwa zinawanufaisha watu binafsi
Mkuu,kuhubili amani wakati nchi inaliwa na wachache ni upumbavu,Hapana, amani ni tunu adhimu, kikubwa uhai, hivi leo Libya baharini kumekuwa afadhali kuliko ardhini. Mwenye akili hujifunza kwa makosa waliyofanya wenzake. Na kuitupia lawama serikali kwa kila tatizo huko ni kukosa maarifa.
Mkuu,kuhubili amani wakati nchi inaliwa na wachache ni upumbavu,Hapana, amani ni tunu adhimu, kikubwa uhai, hivi leo Libya baharini kumekuwa afadhali kuliko ardhini. Mwenye akili hujifunza kwa makosa waliyofanya wenzake. Na kuitupia lawama serikali kwa kila tatizo huko ni kukosa maarifa.
Hujui maisha ya mtaani wewe_hao unajaribu kuwatetea ni wahuni wasiopaswa kupuuzwaHapana, amani ni tunu adhimu, kikubwa uhai, hivi leo Libya baharini kumekuwa afadhali kuliko ardhini. Mwenye akili hujifunza kwa makosa waliyofanya wenzake. Na kuitupia lawama serikali kwa kila tatizo huko ni kukosa maarifa.